Mookiesbad98
JF-Expert Member
- Feb 1, 2015
- 2,805
- 3,640
Hajatangaza nia bado.Halima kafanya kipi cha kumfanya aendelee.
Tunasikia anategemea kuolewa ili awe mama wa nyumbani, amechoka kuwa single na mume wake mtarajiwa kampiga stop siasa.Hajatangaza nia bado.
Watu wa Lumumba mna mambo nyie!!! Mpeni jimbo Gwajima maana Tanganyika pekazi inampa shida kuirudisha mikononi mwake.Tunasikia anategemea kuolewa ili awe mama wa nyumbani, amechoka kuwa single na mume wake mtarajiwa kampiga stop siasa.
Mkuu hiyo ndiyo habari ya mujini, yaani kapigwa stop kabisa na huyo kidume mtarajiwa kujihusisha na siasa.Watu wa Lumumba mna mambo nyie!!! Mpeni jimbo Gwajima maana Tanganyika pekazi inampa shida kuirudisha mikononi mwake.
Kama serikali inayo kusanya kodi iliacha kutimiza wajibu wake ili waseme Halima hakufanya kitu sasa ni muda muafaka kwa wapiga kura kumpa tena Halima ili kuitia adabu CCM na serikali yake kwa mateso iliyo wapa wakipa kodi wa Kawe.Halima kafanya kipi cha kumfanya aendelee.
Wewe mbona umeolewa na bado unapiga siasa hapa Jukwaani?Tunasikia anategemea kuolewa ili awe mama wa nyumbani, amechoka kuwa single na mume wake mtarajiwa kampiga stop siasa.
Gwaji akichukua jimbo nimgegede mamak!KAWE ni GWAJIMA
Bunge litanoga sanaa akiwemo
Sasa hao 32 ambao ni mchanyanyato wa mathenge,mazizi,machungaji mala kondoo wao na machumia tumbo ndo yatamtoa Halima,chaaHalima kafanya kipi cha kumfanya aendelee.
Mkuu watu wote wenye elimu zao wanajua majukumu ya mbunge,Ila vilaza Kama ninyi ndo mnadhani kazi ya mbunge ni kujenga barabara,kuzibua mitaro ya maji machafu na kuwapa liftHalima kafanya kipi cha kumfanya aendelee.
Mkuu hiyo ndiyo habari ya mujini, yaani kapigwa stop kabisa na huyo kidume mtarajiwa kujihusisha na siasa.
Hiyo taarifa waambie wana Lumumba wenzio wanaosemaga humu kuwa Halima ni lesbian.Tunasikia anategemea kuolewa ili awe mama wa nyumbani, amechoka kuwa single na mume wake mtarajiwa kampiga stop siasa.