NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Mume wake si wabunda?Tunasikia anategemea kuolewa ili awe mama wa nyumbani, amechoka kuwa single na mume wake mtarajiwa kampiga stop siasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mume wake si wabunda?Tunasikia anategemea kuolewa ili awe mama wa nyumbani, amechoka kuwa single na mume wake mtarajiwa kampiga stop siasa.
We mwenyewe unajua Halima hana chake Kawe so acha unafikiKama serikali inayo kusanya kodi iliacha kutimiza wajibu wake ili waseme Halima hakufanya kitu sasa ni muda muafaka kwa wapiga kura kumpa tena Halima ili kuitia adabu Ccm na serikali yake kwa mateso iliyo wapa wakipa kodi wa Kawe. Msituletee siasa za kishamba hapa.
Halima hakuwa na serikali ila alijitahidi sana kuwa tetea wananchi wa Kawe
Tuna sema tano tena kwa Halima
Hili jimbo kwa ujumla ni gumu kupata mwakilishi sahihi kwa upande wa Chama chetu Tawala.
Ni jimbo liko mjini, lina wapiga kura wataalazi sababu ya literacy level iko juu, na linachangamoto nyingi za barabara, mifereji, wingi wa wanafunzi, wingi wa bodaboda, wafanyabiashara ndogondogo na walipakodi wengine kwa ujumla
Watia nia mpaka sasa kwa stori za town wamefika watu 32.
Kwa waliosikika Paskali, Timothy, Furaha, Gwajima, Yusuphu Mwenda, Emmmanuel Mbasha, Kipi,
Kwa kweli kamati ya kuchuja itabidi ije na vigezo vingi ili kutuletea mgombea atakayeshindana na Upinzani.
Hivi Gwajima anayetaka kugombea ni huyu huyu ninayemfahamu wa "ufufuo na uzima" au ?Sisi wakazi wa kawe tunajielewa...watu eti wanataka kutupa hadi majoho yao ya uaskofu kuja huku...ngoja waje watakipata wanachojitafuta...hii ni KAWE bwana!! Kitovu cha wasomi na wafanyabiashara.
Halima anatosha!!Kawe hakuna wakutoa Halima Mdee.
Kupiga meza na kumsifu jiweKAWE ni GWAJIMA
Bunge litanoga sanaa akiwemo
Mkuu hiyo ndiyo habari ya mujini, yaani kapigwa stop kabisa na huyo kidume mtarajiwa kujihusisha na siasa.
Na Ester Bulaya inakuwaje?Tunasikia anategemea kuolewa ili awe mama wa nyumbani, amechoka kuwa single na mume wake mtarajiwa kampiga stop siasa.