Uchaguzi 2020 Jimbo gumu kupata mwakilishi ni Kawe

We mwenyewe unajua Halima hana chake Kawe so acha unafiki
 


Kwa taarifa yako jimbo wapiga kura wengi siyo wasomi. Kata zenye wasomi ni msasani, mikocheni na mbweni ambazo wapiga kura hawazi asilimia 20. Kwani Jimbo la kawe lina kata 10. Wanapiga kura wa Jimbo hili ni vijana kutoka mkoa wa Kigoma wanaofanya biashara za matunda na maduka mtaani ,akina Mama wauza mboga mboga na mama ntilie. Nenda kawe, tegeta, ununio, bunju , mwabwepande na mbezi juu utawakuta hawa vijana. Na ndiyo huwa wakiwa wanamuokoa Halima Mdee. Akina Kipi hawajulikani Kwa wakala Hoi hivyo hupigiwa kura na hao wasomi ambao ni wachache Sana. Halima anajua Kula na hawa watu kutoka Kgm. Mwaka 2015 walilinda kura mpaka ngumi zikapigwa. ANAETAKA JIMBO HILI LAZIMA AWAONE VIJANA HAWA KUANZIA PALE TEGETA KWA NDEVU KUELEKEA BAGAMOYO. NA KAWE.
 
Sisi wakazi wa kawe tunajielewa...watu eti wanataka kutupa hadi majoho yao ya uaskofu kuja huku...ngoja waje watakipata wanachojitafuta...hii ni KAWE bwana!! Kitovu cha wasomi na wafanyabiashara.
 
Hakuna eneo Lina watu wengi Kama Bunju shule. Ile wakati wa vitambulisho uwanja unajaaga ule. Ni kweli wasomi so wengi ila walalahoi ndio wanazaaana Sana na ndio wengi. Hasa Kata ya Mabwepande inayoanzia Bunju kwa Baharia mpaka mto mpiji.

Nasikia Kuna mafisadi waliopiga hela zao serikalini nao wanataka kugombea tokea Tasaf.

Kuna mzawa wa Mabwepande nae anagombea. Lakini twaweza shangaa Gwajima akapewa nafasi Mana Sanaa ya kuropoka anaiweza na ni very famous halafu mzigo bank umetulia. Reference Baba Askofu kakobe alipofanyiwa auditing na Tra alipatikana na Billion 7 Benki za kanisa Sasa Gwajima zinaweza kufika 21. Mzee wa Ufufuo mwenye dsm yake.
 
Nasubili atakayepitishwa then nitawaambia atapita mdee ama mteule wa CCM. Mdee anahitaji mtu mwenye ushawishi mkubwa kutoka CCM ili yeye aachie jimbo.
 
Mkuu hiyo ndiyo habari ya mujini, yaani kapigwa stop kabisa na huyo kidume mtarajiwa kujihusisha na siasa.

Jokate na Das bana,kumbe kuna mjuba mkuu roho inamuuma kinyama Das kufaidi tunda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…