Elections 2015 Jimbo La Bukoba mjini mmefanya makosa makubwa kumuondoa Sued Kagasheki

Elections 2015 Jimbo La Bukoba mjini mmefanya makosa makubwa kumuondoa Sued Kagasheki

Hivi ni Sued Kagasheki au ni Khamis Kagasheki yule mzee wa operesheni tokomeza majangili???
 
Mbunge Sued Kagasheki,
1. Mikopo Kwa Kina Mama,
2. Vijana Wanapatiwa Pikipiki Kwa Kurejesha Ela Taratibu, Mwaka Huu Kawapatia Pikipiki 300,
3. Ukarabati Wa Hospitali Ya Mkoa Na Kuwapatia Ambulance Na Kugharamia Mafuta Yake,
4. Bill Ya Umeme Ya Hospitali Zote Na Vituo Vya Watoto Yatima Bado Analipa Yeye
5. Kuwapatia Fursa Vijana Kucheza Ligi Yenye Thaman Ya Mil 35 Kwa Miez 6,
6. Kubadilisha Furniture Za Shule Zote Za Serikali Kila Zinapochakaa
7. Katoa Fursa Ya Ajira Kupitia Vick Fish,
8. Kapambana Na Fisad Aman Anatory Katika Sakata La Viwanja Bukoba
9. Kina Mama Wamepewa Fursa Ya Ufugaji Kila Mama 5 Ng'ombe 1 Bule
10. Kuweka Mitego Ya Radi Kila Shule Kuzuia Vifo Vilivyotokea Siku Za Nyuma, Kaweka Tv Na Umeme Shule Zote, Na Kujenga Darasa Moja Moja Kila Shule,
Je Mlitaka Afanye Nin Zaid Ya Icho? Pia Mmelalamika Eti Anaweza Chukua Ambulance Alizogawa Hospitalin, Nahs Dhana Ya Mabadiliko Hamkuielewa

haya ni majukumu yake hata hivyo si vibaya wakipishana kulijenga jimbo britanicca
 
Last edited by a moderator:
Nimebahatika kuishi Bukoba Mjini na Vijijini kwa muda mrefu.Nimemfahamu Kagasheki kama Kiongozi; 1.Mwenye jeuri ya fedha akitegemea Wakuu wa chama na serikali 2.Mbinafsi anayependa madaraka pasipo kuwajibika 3.Dharau kwa watu wa chini wenye kipato duni 4.Asiyependa wengine wapate fursa za uongozi 5.Mbaguzi anayekesha akitengeneza makundi 6.Misaada yake ina lengo la kujijengea umaarufu bila kujali maendeleo ya watu 7.Mgomvi na mwenye kudhoofisha juhudi za wapinzani kwa kuhujumu maendeleo ya watu wanao unga mkono upinzani.
 
Tatizo letu wananchi tumeamua kwa makusudi kubadilisha majukumu ya mbunge kutoka kuwa mwakilishi wetu na kumpa majukumu ambayo yanapaswa kutekelezwa na wale tuliowapa dhamana ya kukusanya kodi.Binafsi siamini kama kusomesha wanafunzi ni jukumu la mbunge. Kama ni jukumu lake basi alipe ada kwa wanafunzi wa jimbo zima.
 
Huyo lwakatare alishakuwa mbunge hapo hakufanya lolote watajuta hii dhana ya mabadiliko imetafsiriwa vibaya
 
niko uku izimbya,jimbo la bukoba vijijini!ni kweli ameichukua ambulace yake na kama haitoshi piki piki zote alizo waisadia vijana amewapokonya!

Acha Uongo Niko Hapa Bukoba Kwenye Unit Ya Health Ya Mkoa, Katika Ambulance Zake Tatu Alizowapa Bukoba Mjini, Mbil Znafanya Kaz Vizuri, Kwanza We Wa Izimbya Kwenu Huko Kuja Bukoba Mjin Mpaka Labda Muwe Na Tour Maalum, Ya Bukoba Mjin Huyajui,
 
Ww ndy alikuwa anakutumia kupeleka? Acha hizo wananchi ndy waamuzi.
 
Wahaya Ni Wanafiki Sana, Na Ni Wajinga Nshomile Iko Mdomoni, Hawapendean Maendeleo Wao Kwa Wao, Wanadhan Wanaiga Mambo Ya Wachaga Kwa Kuwasapot Wachaga, Ona Leo Hii Viti Maalumu Wachaga Washapeana Kama Njugu Wakat Hata Hapa Bukoba Mjini Kuna Mbunge Wa Chadema,
 
Watanzania huwa ni washabiki na wafuata mkumbo,, tunaita wataalamu wa siasa za oyaoya na wafuata upepo,,, wewe huoni wale wananchi wa ubungo walivyomchagua kubenea kishabiki?? We unafikiri ni kwasababu zipi halima mdee ni mbunge??? Nimewapenda wanakinondoni kwa kumkataa iddi azan na temeke kumkataa mtemvu!!!
 
kusema kweli bukoba na kagera kwa ujumla wake haijawahi kupata wabunge mahiri,
bk mjini alikuwepo luhangisa, kataraihya mujuni, lwakatare, kagasheki tena lwakatare, hapo aliyejaribu alikuwa kagasheki, mji umeonekana kukua kidogo, lakin pamoja na hiyo anahitajika mbunge mkali na mwenye maono safi kuleta maendeleo, bukoba kuendelea ni kama ngamia kupita kwenye tundu la sindano,
 
Huyu Lwakatare Alipewa Ubunge Akachangisha Ela Eti ABANA BASHOME akaishia kula ela bila kufanya chochote miaka ile, sasa ndo mmemrejesha

Nina miaka kama kumi hivi sijarudi nyumbani bukoba kwa sababu wahaya ni watu wa ajabu sana.....huyu mtu walimtoa alipokuwa CUF.....baada ya kumkojolea mwandishi na kumpiga vibao....leo eti karudishwa......tatizo wasomi wahaya wamekimbilia dar.....buhaya sio kama ya zamani.....jinga sana Muganyizi Lwakatale
 
Nimebahatika kuishi Bukoba Mjini na Vijijini kwa muda mrefu.Nimemfahamu Kagasheki kama Kiongozi; 1.Mwenye jeuri ya fedha akitegemea Wakuu wa chama na serikali 2.Mbinafsi anayependa madaraka pasipo kuwajibika 3.Dharau kwa watu wa chini wenye kipato duni 4.Asiyependa wengine wapate fursa za uongozi 5.Mbaguzi anayekesha akitengeneza makundi 6.Misaada yake ina lengo la kujijengea umaarufu bila kujali maendeleo ya watu 7.Mgomvi na mwenye kudhoofisha juhudi za wapinzani kwa kuhujumu maendeleo ya watu wanao unga mkono upinzani.

Sifa za the real nshomile??

Baba koku hahahaha

Nawaza tu.
 
Watanzania huwa ni washabiki na wafuata mkumbo,, tunaita wataalamu wa siasa za oyaoya na wafuata upepo,,, wewe huoni wale wananchi wa ubungo walivyomchagua kubenea kishabiki?? We unafikiri ni kwasababu zipi halima mdee ni mbunge??? Nimewapenda wanakinondoni kwa kumkataa iddi azan na temeke kumkataa mtemvu!!!

Idd azzan na mtemvu walijisahau mno!
 
Lakini ambulance yake kaichukua sasa alikuwa na nia nzuri na Umeme halipi tena
 
Back
Top Bottom