nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,624
niko uku izimbya,jimbo la bukoba vijijini!ni kweli ameichukua ambulace yake na kama haitoshi piki piki zote alizo waisadia vijana amewapokonya!
Mbunge Sued Kagasheki,
1. Mikopo Kwa Kina Mama,
2. Vijana Wanapatiwa Pikipiki Kwa Kurejesha Ela Taratibu, Mwaka Huu Kawapatia Pikipiki 300,
3. Ukarabati Wa Hospitali Ya Mkoa Na Kuwapatia Ambulance Na Kugharamia Mafuta Yake,
4. Bill Ya Umeme Ya Hospitali Zote Na Vituo Vya Watoto Yatima Bado Analipa Yeye
5. Kuwapatia Fursa Vijana Kucheza Ligi Yenye Thaman Ya Mil 35 Kwa Miez 6,
6. Kubadilisha Furniture Za Shule Zote Za Serikali Kila Zinapochakaa
7. Katoa Fursa Ya Ajira Kupitia Vick Fish,
8. Kapambana Na Fisad Aman Anatory Katika Sakata La Viwanja Bukoba
9. Kina Mama Wamepewa Fursa Ya Ufugaji Kila Mama 5 Ng'ombe 1 Bule
10. Kuweka Mitego Ya Radi Kila Shule Kuzuia Vifo Vilivyotokea Siku Za Nyuma, Kaweka Tv Na Umeme Shule Zote, Na Kujenga Darasa Moja Moja Kila Shule,
Je Mlitaka Afanye Nin Zaid Ya Icho? Pia Mmelalamika Eti Anaweza Chukua Ambulance Alizogawa Hospitalin, Nahs Dhana Ya Mabadiliko Hamkuielewa
Hivi ni Sued Kagasheki au ni Khamis Kagasheki yule mzee wa operesheni tokomeza majangili???
Kwanini Sasa Aendelee Kutoa Misaada Kwa Wanafiki,
uko sahihi:mleta kakosea jina la kwanza!
ni khamis kagasheki na sio sued kagasheki
niko uku izimbya,jimbo la bukoba vijijini!ni kweli ameichukua ambulace yake na kama haitoshi piki piki zote alizo waisadia vijana amewapokonya!
uko sahihi:mleta kakosea jina la kwanza!
ni khamis kagasheki na sio sued kagasheki
Una ushahidi?
Huyu Lwakatare Alipewa Ubunge Akachangisha Ela Eti ABANA BASHOME akaishia kula ela bila kufanya chochote miaka ile, sasa ndo mmemrejesha
Nimebahatika kuishi Bukoba Mjini na Vijijini kwa muda mrefu.Nimemfahamu Kagasheki kama Kiongozi; 1.Mwenye jeuri ya fedha akitegemea Wakuu wa chama na serikali 2.Mbinafsi anayependa madaraka pasipo kuwajibika 3.Dharau kwa watu wa chini wenye kipato duni 4.Asiyependa wengine wapate fursa za uongozi 5.Mbaguzi anayekesha akitengeneza makundi 6.Misaada yake ina lengo la kujijengea umaarufu bila kujali maendeleo ya watu 7.Mgomvi na mwenye kudhoofisha juhudi za wapinzani kwa kuhujumu maendeleo ya watu wanao unga mkono upinzani.
Watanzania huwa ni washabiki na wafuata mkumbo,, tunaita wataalamu wa siasa za oyaoya na wafuata upepo,,, wewe huoni wale wananchi wa ubungo walivyomchagua kubenea kishabiki?? We unafikiri ni kwasababu zipi halima mdee ni mbunge??? Nimewapenda wanakinondoni kwa kumkataa iddi azan na temeke kumkataa mtemvu!!!