Jimbo la Chato kwa sasa halina Mbunge?

Jimbo la Chato kwa sasa halina Mbunge?

JackisonDubai

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2023
Posts
537
Reaction score
1,282
Merdad Matogolo Kalemani aliyewahi kuwa waziri wa nishati na akawa anapeleka umeme kwa wasitani wa vijiji elfu 2 kila mwaka hivyo kupelekea vijiji zaidi ya elfu 10 kupata umeme ndani ya miaka yake 5 ya uwaziri hivi sasa amelala usingizi wa pono.

Medard Kalemani mbunge wa jimbo la Chato hatetei jimbo lake kwa namna yoyote ile, miradi ya jimbo hili inachafuliwa lakini mbunge huyu yupo kimya! Je ananufaika nini na uchafuzi huo?

Jimbo la Chato lipo kati ya majimbo kumi yenye idadi kubwa ya watu nchini, kutokana na sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 jimbo la Chato lina idadi ya watu zaidi ya laki 585.

Licha ya idadi kubwa ya watu namna hii kuna genge la waandishi wa habari uchwara limeandika kitabu kupinga Chato isiwe na barabara za lami, Hosipitali nzuri, uwanja wa ndege, viwanda, mbuga, etc lakini mbunge wa jimbo Medard Kalemani yupo kimya kujibu upuuzi huu.

Medard Kalemani unataka nani aje atetee jimbo lako?
 
Shida yote ya nini bora akae kimya tu. Chato ilikuwa inapaa maneno maneno ya wivu yakazidi
 
Unafikiri ni mjinga!!?

Kabla hujawaza hivyo ungejiuliza huyu jamaa KWANINI kakaa kimya!!?

Unafikiri yeye hajui nini kinaendelea!!?

Jiulize Kabudi,lukuvi,ndugai n.k wote kimya KWANINI!!?

"Don't ask why when you don't understand"Joyce Meryer!
 
Aendelee kukaa kimya Wana Chato watachagua mbunge mwingine wa kuwatetea
 
Merdad Matogolo Kalemani aliyewahi kuwa waziri wa nishati na akawa anapeleka umeme kwa wasitani wa vijiji elfu 2 kila mwaka hivyo kupelekea vijiji zaidi ya elfu 10 kupata umeme ndani ya miaka yake 5 ya uwaziri hivi sasa amelala usingizi wa pono.

Medard Kalemani mbunge wa jimbo la Chato hatetei jimbo lake kwa namna yoyote ile, miradi ya jimbo hili inachafuliwa lakini mbunge huyu yupo kimya! Je ananufaika nini na uchafuzi huo?

Jimbo la Chato lipo kati ya majimbo kumi yenye idadi kubwa ya watu nchini, kutokana na sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 jimbo la Chato lina idadi ya watu zaidi ya laki 585.

Licha ya idadi kubwa ya watu namna hii kuna genge la waandishi wa habari uchwara limeandika kitabu kupinga Chato isiwe na barabara za lami, Hosipitali nzuri, uwanja wa ndege, viwanda, mbuga, etc lakini mbunge wa jimbo Medard Kalemani yupo kimya kujibu upuuzi huu.

Medard Kalemani unataka nani aje atetee jimbo lako?
Sukuma gang mmeanza kutafutana Chato lini ilikuwa na watu zaidi ya laki5 leta chanzo??
Mwendakuzimu aliwapendelea sana wajinga nyie uzeni airport hiyo au anikani pamba maana ndege haziji
 
Merdad Matogolo Kalemani aliyewahi kuwa waziri wa nishati na akawa anapeleka umeme kwa wasitani wa vijiji elfu 2 kila mwaka hivyo kupelekea vijiji zaidi ya elfu 10 kupata umeme ndani ya miaka yake 5 ya uwaziri hivi sasa amelala usingizi wa pono.

Medard Kalemani mbunge wa jimbo la Chato hatetei jimbo lake kwa namna yoyote ile, miradi ya jimbo hili inachafuliwa lakini mbunge huyu yupo kimya! Je ananufaika nini na uchafuzi huo?

Jimbo la Chato lipo kati ya majimbo kumi yenye idadi kubwa ya watu nchini, kutokana na sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 jimbo la Chato lina idadi ya watu zaidi ya laki 585.

Licha ya idadi kubwa ya watu namna hii kuna genge la waandishi wa habari uchwara limeandika kitabu kupinga Chato isiwe na barabara za lami, Hosipitali nzuri, uwanja wa ndege, viwanda, mbuga, etc lakini mbunge wa jimbo Medard Kalemani yupo kimya kujibu upuuzi huu.

Medard Kalemani unataka nani aje atetee jimbo lako?
Triangle! Lukuvi,kabudi,kalemani,Bashiru hao watakua wameonywa wake kimya!!

Ukiona mtu mzima na akili zake yupo kimya ujue Kuna jambo!!

Labda wanataka jimbo liende upinzani Ili kuua legacy ya jpm!!

Wakati kalemani akiwa nishati tulisha sahau umeme was mgao lakini baada ya kuondoka ndio mambo yakaanza!!hiyo haihitaji hasta akili nyingi kujua kwamba jamaa wamemharasi kisaikolojia na kaamua akae kimya tu!!

2025 Bado mbali tuendelee kuomba Mungu!
 
Back
Top Bottom