Jimbo la Dodoma Mjini: Mdahalo kati ya Antony Mavunde vs Aisha Madoga

Jimbo la Dodoma Mjini: Mdahalo kati ya Antony Mavunde vs Aisha Madoga

Mi nazani ilipaswa swali moja wanalijubu wate!! sio huyu unamuuliza swali hili na mwingine swali lingine!

..kweli kabisa.

..Good observation.

..kidogo kidogo tutafika.

..waandishi wanatakiwa wajifunze namna nzuri ya kuendesha midahalo.

..pia wagombea wajiandae kujibu maswali toka kwa waandishi.

..Natumaini baada ya uchaguzi huu tutakuwa na utamaduni wa kufanya midahalo baina ya wagombea.
 
..Aisha Madoga ni mgombea wa Chadema.

..Antony Mavunde ni mgombea wa CCM.

..Wagombea wote wameonyesha weledi kutetea hoja zao.

huyo madoga amekosa kazi ya kufanya, ivi CDM mlikosa mtu sahihi wa kumpa changamoto mh Antony Mavunde??

Daah pole ake huyu dada
 
Kila aendapo Magufuli husema mkichagua upinzani, sileti maendeleo..

Ina maana Magufuli anataka nchi Nzima wachague CCM, Nini maana ya multiparty democracy

Afute vyama vingi, ibaki CCM

Kwa hiyo waliochagua wabunge upinzani, wasilipe Kodi?.

Kwa hiyo akila Kodi za waliochagua upinzani aumwe Tumbo?
 
Waandishi wetu wa habari wengi wao kwenye suala la kuhoji wapo dhaifu sana, ufahamu wa masuala mtambuka upo chini pia na hawana uwezo wa kutengeneza hoja zenye mashiko ambazo zina tija kwa jamii.

Ila hoja za udaku na masuala ya wasanii 100%
 
Kama vijana hawa wazalendo kabisa wanatambua umuhimu wa mdahalo, inakuwaje kwa wanaotafuta nafasi ya kuongoza nchi hii?????
 
Mi nazani ilipaswa swali moja wanalijubu wate!! sio huyu unamuuliza swali hili na mwingine swali lingine!
Hapana.

Maswali yanayofanana kwa wote yatawanyima uhuru wa kujieleza hasa pale wanapoweza kuwa na majibu yanayofanana, utawalazimisha kuongea kitu cha tofauti ili kukwepa kufanana na jibu la aliemtangulia, kitu kinachoweza kupunguza credit kwa anaejibu aonekane hajui kumbe alikuwa anajua akaogopa kuonekana ameibia kwa mwenzake, hii itachangia kupunguza ladha ya mdahalo.

Maswali tofauti ndio mazuri zaidi kupima intelligence ya wahusika individually.
 
Hapana.

Maswali yanayofanana kwa wote yatawanyima uhuru wa kujieleza hasa pale wanapoweza kuwa na majibu yanayofanana, utawalazimisha kuongea kitu cha tofauti ili kukwepa kufanana na jibu la aliemtangulia, kitu kinachoweza kupunguza credit kwa anaejibu aonekane hajui kumbe alikuwa anajua akaogopa kuonekana ameibia kwa mwenzake, hii itachangia kupunguza ladha ya mdahalo.

Maswali tofauti ndio mazuri kupima intelligence ya wahusika.
Sawa mkuu nahesimu maoni yako!!
 
Id za mwaka huu za ccm kwa ajili ya kampeni kazini.
[/QUOTEenheee tulia hivyo hivyoooo, eeh psiiii tulia sindano ikuingiee,,eee waaaah,safi umepona,hongera!😉😁😂
 
Huyo Jamaa wa CCM kapewa sana nafasi ya kuzungumza na inavyo onekana amepita (kudukua) taarifa za Serikali na kujibandikia jukumu ,nilicho kiona mwana Dada wa Chadema kampiga Nyundo kali kwa nafasi aliyo ipata kuzungumza.

Nna tamani ninge uona mfahalo wa Mzee Baba na Lissu.
 
huyu dada wa Chadema ni mrembo sana, ningekua Dodoma Mjini kura yangu angeipata bila ya shaka yoyote
 
Back
Top Bottom