Tetesi: Jimbo la hai kilimanjaro: Mbunge wao kukosa ubunge 2025 kwa kukubali kuuzwa kwa Bandari ya Dar es Salaam

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Huko hai Kilimanjaro alikozaliwa mwenyekiti wa Chadema Taifa, wananchi wameanza maandamano ya kupinga kuuzwa kwa bandari ya Dar es salaam.

Maandamano hayo yataanzia nyumbani kwa Freeman Mbowe hadi ofisi ya mbunge wa Jimbo la Hai.
Iwapo mbunge huyo wa Jimbo la Hai ataungana na wabunge wengine jukubali kuuzwa kwa bandari hiyo muhimu, 2025 wananchi wameapa kumuondoa madarakani.

Kiambatisho tumemuwekea mbunge wa Jimbo la hai akisome 👇 na akumbuke kuwa waliosani ni watu wa visiwani kuuza mali Za Tanzania bara.
3A040BA4-76C3-4235-B515-95A35BA8600A.jpeg
CF67FB5E-D62B-4A88-86CB-9D403221151E.jpeg
 
Hata akikataa. Huyo hatarudi 2025.

Nina uhakika 100%. Bora akubali ili Samia amtafutie kitengo baada ya kubwagwa.
 
Huko hai Kilimanjaro alikozaliwa mwenyekiti wa Chadema Taifa, wananchi wameanza maandamano ya kupinga kuuzwa kwa bandari ya Dar es salaam.
Maandamano hayo yataanzia nyumbani kwa Freeman mbowe hadi ofisi ya mbunge wa Jimbo la Hai.
Iwapo mbunge huyo wa Jimbo la Hai ataungana na wabunge wengine jukubali kuuzwa kwa bandari hiyo muhimu, 2025 wananchi wameapa kumuondoa madarakani.
Hata mbowe kakubali pia
 
Kiambatisho tumemuwekea mbunge wa Jimbo la hai akisome 👇
 
Attachments

  • 7211C21D-1552-4F0C-8E70-9DFEF819A2E1.jpeg
    7211C21D-1552-4F0C-8E70-9DFEF819A2E1.jpeg
    50.5 KB · Views: 8
Huko hai Kilimanjaro alikozaliwa mwenyekiti wa Chadema Taifa, wananchi wameanza maandamano ya kupinga kuuzwa kwa bandari ya Dar es salaam.

Maandamano hayo yataanzia nyumbani kwa Freeman Mbowe hadi ofisi ya mbunge wa Jimbo la Hai.
Iwapo mbunge huyo wa Jimbo la Hai ataungana na wabunge wengine jukubali kuuzwa kwa bandari hiyo muhimu, 2025 wananchi wameapa kumuondoa madarakani.

Kiambatisho tumemuwekea mbunge wa Jimbo la hai akisome 👇 na akumbuke kuwa waliosani ni watu wa visiwani kuuza mali Za Tanzania bara.
View attachment 2648949View attachment 2648953
 
Attachments

  • IMG_0515.MP4
    7.7 MB
IBRAHIM JEREMIAH
S.L.P 602
SONGEA
06/06/2023

KATIBU WA BUNGE, OFISI YA BUNGE
10 BARABARA YA MOROGORO
S.L.P 941,
40490 TAMBUKARELI
DODOMA

YAH. KUPINGA AZIMIO LA UBINAFSISHWAJI WA BANDARI KWA KAMPUNI YA DP WORLD

Ndugu
Husika na Kichwa cha barua hapo Juu,

Mimi ni Mtanzania ambaye nimeguswa na suala hili na kimsingi nina wajibu wa kutoa maoni yangu ili Taifa letu lisiingie matatizoni,

Jambo hili limezua taharuki kwa Watanzania wengi waliosoma na kusikia taarifa hii kwasababu Bandari ni jambo linalohusu Umma,

Lakini pia mchakato huu umekuwa wa haraka na ushirikishwaji wa wananchi umekuwa mdogo sana, hivyo umesababisha kuongeza mashaka zaidi kwa Watanzania,

Hivyo nashauri mkataba huu ubatilishwe kwasababu hizi zifuatazo,

Bandari ni moyo wa Uchumi wa nchi na Kitovu kikubwa cha mapato yetu hivyo kwa umuhimu na Unyeti wake ni muhimu maeneo haya yasibinafsishwe na yakaendelea kuendeshwa na Watanzania wenyewe,

Kupitia uwekezaji huu umetolewa ufafanuzi kuwa Ubinafsishaji wao utaleta mapato kwa asilimia 233,

Imani yangu ni kuwa kupatikana kwa mapato haya hakutumii miujiza,
Ikiwa tutawekeza na kuongeza umakini katika usimamiaji tunaweza kupata mapato zaidi ya asilimia ambazo zimesemwa na wawekezaji,

Athari za Kiulinzi na Kiusalama
Ikiwa Bandari itaendeshwa na Kampuni binafsi kwa asilimia 100 kutakuwa na athari kubwa za kiulinzi na Kiusalama,

Hivi karibuni zimesambaa taarifa za Wanyama wa Afrika kupelekwa Dubai, lakini yapo madini, madawa ya kulevya, Pembe za ndovu na vitu vinginevyo vinavyosafirishwa kwa magendo,
Kama tutaruhusu Ubinafsishaji maana yake hata kama tutatoa ulinzi kutokana na Rushwa bado walinzi wetu wataitumikia Kampuni ya kiarabu,

Uwekezaji ni Biashara
Na hakuna Kampuni inayowekeza ili kupata hasara hivyo faida itakayopata Kampuni hii itawanufaisha waarabu wa Dubai,

Kwa lugha rahisi waarabu watachukua Pesa yetu na kwenda kujengea kwao, Jambo ambalo halitainufaisha nchi yetu,

Lipo suala la Ajira,
Ubinafsishaji huu utaleta tatizo la ajira kwa Watanzania kwasababu Waarabu hupenda kuajiri watu wao,

Waajiriwa wa nafasi kubwa katika Kampuni nyingi za Kiarabu hapa nchini huwa ni waarabu, Watanzania wa asili wengi huajiriwa kwenye nafasi za Utwana, nafasi za chini hivyo itapelekea Watanzania kutonufaika na uwekezaji huu na hivyo uwekezaji utawanufaisha waarabu zaidi katika soko la ajira,

Pia Dubai ni nchi ya Kidini hivyo utaratibu wa uajiri katika kampuni hii utakuwa wa Kidini Jambo ambalo si utamaduni wetu na litapelekea kukosekana kwa umoja wa Kitaifa na kuleta athari za kidini,

Mkataba huu ni wa muda mrefu,
Mikataba ya muda mrefu inaleta athari baadae ikiwa awamu zijazo zitakuwa na mpango tofauti katika shughuli za uendeshwaji wa Bandari,

Nyote ni mashahidi kuwa tumekuwa tukipitia wakati mgumu katika kubadilisha na kuvunja mikataba mingi ya muda mrefu iliyosainiwa kipindi cha nyuma ambayo haililetei tija Taifa mfano mikataba ya Madini na Makinikia ambapo madini yetu yamekuwa yakichukuliwa nje pasipo kutuletea tija yoyote hivyo ni muhimu mikataba hii ya muda mrefu tuisitishe na tuwe na utaratibu wa kufanya mikataba ambayo inakuwa ndani ya muda wa viongozi wa wakati huo ili isilete athari kwa Serikali zijazo na vizazi vijavyo,

Kuipa Kampuni ya Taifa jingine kuendesha Bandari kutalishushia heshima Taifa letu, Mkataba huu unakwenda kututukana na kutudhalilisha kimataifa kwasababu tutaonekana tumeshindwa kujiongoza wenyewe hususani kwenye rasilimali hii muhimu ambayo haitakiwi kufanyiwa mnada na mzaha wa namna hii,

Utofauti wa tamaduni za utendaji kazi na tamaduni zetu,
Dubai wanafanya kazi Jumatatu mpaka siku ya Alhamisi, siku ya Ijumaa inakuwa kama mapumziko lakini pia katika mwezi wa Ramadhani shughuli huwa zinasimama na kazi zinafanywa kwa nusu siku tofauti na hapa kwetu ambapo shughuli zinafanywa wakati wote,
Kwa kiasi fulani Dubai wanafanana sana kitamaduni na Zanzibar kuliko huku Bara hivyo kutakuwa na mtafaruku wa Kitamaduni hususani katika sehemu inayohusu Umma kama hii,

Kwa haya machache niliyoyoaanisha nashauri mapendekezo haya yasipitishwe na mkataba huu uvunje kabla ya kuja kutuletea athari Watanzania!

Wako katika kupigania maslahi ya Taifa

🤣🤣🤣Mnawaogopa waarabu maana wakifanya vetting wengi elimu zenu za kutapeli na wengi majizi.
 
Back
Top Bottom