Rogart Ngaillo
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 908
- 1,911
Kuna mgombea mmoja anaomba kura kwa kupiga magoti. unaelewa tafsiri yake? Nikusaidie tu "kuna mwamba anawapeleka mchakamchaka" hana uhakika na kesho yake....Mimi au Lissu baada ya 28/10. Mfa maji sikiliza hutoba zake za kampeni anarukia hili mara lile hajielewi ashike nini? Kumbuka kuna wakati Lissu alimkumbatia Membe wakati ule wa mwanzo wa kampeni. Leo umemsikia Maalimu Seif anaongea nini kuhusu Membe?