Rogart Ngaillo
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 908
- 1,911
Kuna mgombea mmoja anaomba kura kwa kupiga magoti. unaelewa tafsiri yake? Nikusaidie tu "kuna mwamba anawapeleka mchakamchaka" hana uhakika na kesho yake....Mimi au Lissu baada ya 28/10. Mfa maji sikiliza hutoba zake za kampeni anarukia hili mara lile hajielewi ashike nini? Kumbuka kuna wakati Lissu alimkumbatia Membe wakati ule wa mwanzo wa kampeni. Leo umemsikia Maalimu Seif anaongea nini kuhusu Membe?
Mchawi yeyote anayetaka kusaliti harakati hizi hafai.Mimi au Lissu baada ya 28/10. Mfa maji sikiliza hutoba zake za kampeni anarukia hili mara lile hajielewi ashike nini? Kumbuka kuna wakati Lissu alimkumbatia Membe wakati ule wa mwanzo wa kampeni. Leo umemsikia Maalimu Seif anaongea nini kuhusu Membe?
kila siku siyo jumapiliKwa isimani ni ngumu, lukuvi atashinda kwa kura nyingi
Baba licha ya eneo finyu kuna wagombea wa kijani wakiwa na bendi za muziki lakini wahudhuriaji kwenye mkutano ni watumbuizaji na wagombea, hapo je!!!!??Mbinu ya Chadema na Lissu nchi nzima ni ileile kutafuta sehemu finyu kufanyia mikutano ili wananchi wabanane na wakanyagane na kuleta picha mitandaoni kuonesha walio hudhuria ni wengi.
Ndio mgombea pekee anayegawa pombe ya kienyejiLukuvi ni tapeli tu