Hivi hili jimbo liko Dar au nje ya Dar?! Make si kwa ubovu wa barabara. Jimbo zima lami ni changamoto. Kuna barabara zimetengwa kwa ajili ya TANROADS na zina connections nzuri sana ila kuzijenga sasa imekuwa changamoto.
Mfano barabara inayotokea mbezi mwisho kuunganisha mpaka bunju kupitia mpigi magoe ni kiungo bora kabisa cha kupeleka magari ya kaskazini.
Kwa sasa haya magari kupitia Madale na kutokea Tegeta, kwanza inakuwa ni mbali lkn pia ni kurudi kwenye foleni.
Serikali tunaomba mliangalie hili kwa maana hata barabara ya kuingia stand imekuwa changamoto.