evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,035
- 8,218
Nashukuru kwa kunifahamisha nilikuwa sifahamu.Soma katiba wewe chawa, ndani ya miezi 12 kabla ya bunge kuvunjwa hakuna uchaguzi utafanyika
Asante mkuu kwa kuelewa nilidhani ni wale wachawa ambao hawana akiliNashukuru kwa kunifahamisha nilikuwa sifahamu.
Ila kwenye uchawa naomba nitoe
Naunga mkono hoja kakaNa mbunge ajae ni Vincenzo Jr
Kila la kheri usitusahau wajumbeNaunga mkono hoja kaka
Naam Kabisa kaka wewe utakuwa mjumbe wangu wa kwanzaKila la kheri usitusahau wajumbe
Kila la heri mkuu jimbo ni lako.Naunga mkono hoja kaka
waingiwe wote kwa pamojaKonda boy atatupa karata yake 2025.
ππππSoma katiba wewe chawa, ndani ya miezi 12 kabla ya bunge kuvunjwa hakuna uchaguzi utafanyika
Uongoππππ
Ni kweli jimbo liko wazi ila kwa mujibu wa katiba yetu, jimbo likiwa wazi chini ya miezi 12 kabla ya kuvunjwa Bunge, hakutafanyika uchaguzi mdogo wowote.Baada ya Dr. Faustine Engelbert Ndugulile kuchaguliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Dunia (WHO) hapo jana jimbo la Kigamboni ambalo alikuwa anahudumu yeye kama mbunge lipo wazi kwani kwa kuchaguliwa katika nafasi hiyo hastahili kuendelea na majukuhu hayo ya kisiasa.
Pia soma: Dkt Faustine Ndugulile ashinda kinyang'anyiro cha ukurugenzi Mkuu wa WHO kanda ya Afrika
Ni kweli jimbo liko wazi ila kwa mujibu wa katiba yetu, jimbo likiwa wazi chini ya miezi 12 kabla ya kuvunjwa Bunge, hakutafanyika uchaguzi mdogo wowote.
Ibara ya 49 (5) ya Sheria Mpya ya Uchaguzi inasema (5) Endapo uchaguzi mdogo unatakiwakufanyika na tarehe ya kuvunjwa kwa Bungeimetangazwa au imejulikana kwa mujibu wa matukioyaliyoainishwa katika Ibara ya 90(3) ya Katiba,uchaguzi mdogo hautafanyika katika muda wowotewakati wa kipindi cha miezi kumi na mbili mara tubaada ya tarehe ya kuvunjwa kwa Bunge.
Ndio maana pia nimewashauri hata wale rafiki zangu wenye wivu wa kike kuwaonea vivu wale wanawake mashujaa 19, waachane nao tuu, kwasababu hakuna uchaguzi wowote au uteuzi isipokuwa kwa nafasi za Rais tuu!. Ushauri wa bure: CHADEMA iachane na issue ya Wabunge wake 19, iwasamehe waendelee na Ubunge wao. Kwa muda uliobakia kuwatengua hakuna maslahi yoyote!
P