Jimbo la Kigamboni lipo wazi, hongera Ndugulile

Anajiropokea tu [emoji1787]
Mkuu wala sijajiropokea na sijamuelewa vizuri huyo ndugu.
Kwenye posti yangu sijaongelea suala la kufanyika uchaguzi nimesema jimbo linakuwa wazi.
Kwa nafasi aliyochaguliwa Ndungulile atalazimika kujiuzulu ubunge .
Kwa hiyo Jimbo La Kigamboni Litakuwa halina mbunge
 
Kwanini alazimike kujiuzulu ubunge?
 

Kwanini watu wengine hubembeleza wenzao wawatukane? COVID 19 hawatakiwi Sio Bungeni Tu Bali hata duniani.
 
Atapita bila wasiwasi πŸ˜…
Ila ajue itakuwa ni Risk number Two 😳🀣
Anaweza akajikuta amekaa kijiweni tena mara nyingine πŸ˜†πŸ˜€
Kwa sasa hawezi maana kizuizi pale alikua huyo jamaa tu aliyeondoka,, kwa sasa akirudi lazima achukue jimbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…