Jimbo la Kinondoni, Tarimba aliwahonga hadi mkampa uwakilishi?

Jimbo la Kinondoni, Tarimba aliwahonga hadi mkampa uwakilishi?

Mama Edina

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2022
Posts
942
Reaction score
2,272
Wabunge wenye tabia hizi ni wengi, wale wasio na haya kama Tarimba ndio wanatuona hatunazo kabisa, wananchi wa kinondoni mbona tuna wasomi waelewanna wapenda maendeleo wengi tuu.

Yaani washaona nchi hii watusimamishe barabarani wapite wao. Tunajua moja ya viongozi nchi walio na uhuru uliovuka kikomo ni wabunge.

Wanafanyakaz zao saa ngapi,wanaamua wao, yaani ubunge umekuwa lulu nchi hii
 
Yaani Tarimba anadai plate number maalum utadhani anajua atarudi tena
 
Lazima uwe dealer kupata k'ndoni, ila huyu wa jiwe alipopora uchaguzi!
 
Back
Top Bottom