Mama Edina
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 942
- 2,272
Yaani na wanapigiwa kura kabisaHilo jimbo huwa linachukuliwa na wenye biashara haramu
Ulipiga kura? Tuanzie hapowananchi wa kinondoni mbona tuna wasomi waelewanna wapenda maendeleo wengi tuu.
Ulevi wetu unaanzia hapa. Wewe ulipiga kuraUlipiga kura? Tuanzie hapo
Mauza uza yake atapitishia wapi bila hizo plate number maalum?Yaani Tarimba anadai plate number maalum utadhani anajua atarudi tena