Ndugu L. Mpina Yeye ameishachukua fomu?.... yao
Lucas yuko ArushaHatari sana LUCAS MWASHAMBWA YUKO WAP
Hili nalo atabisha kuwa LUHAGA KAWAPANGALucas yuko Arusha
Kinondoni ipi ?Hata Kinondoni fomu moja tu ya P
jimbo la Dotto MagariKinondoni ipi ?
Km hakuna aliyechukua fomu, ina maana hata Mpina mwenyewe hajachukua fomuWakati wa Jimbo la Kisesa hawajachukua fomu ya ubunge hadi Leo
Wanachama wa CCM wameshinikiza Mpina ndo agombee pekee
Mwenyekiti wa CCM Taifa alimwita Luhaga Mpina kuwa ni mbunge wa Taifa na sio mbunge wa Kisesa na huwa hawatetei wananchi wa Kisesa
Pia Mwenyekiti wa CCM alisisitiza wananchi wasimrudishe bungeni
Baadaye Mpina akamjibu kuwa anafurahia kupandishwa cheo na kuitwa mbunge wa Taifa
Wananchi hawakufurahia kauli hiyo na mpaka Sasa kutoka Kwa karibu wa CCM Jimbo la Kisesa hakuna mwana CCM yeyote aliyebeba form
Hii ndo Kanda ya ziwa
Watu wana misimamo yao
UponjoroKinondoni ipi ?
Ponjoro,Nyamwija,AzanUponjoro
Yuko Mbozi anabubujikwa na machozi ya furaha!Hatari sana LUCAS MWASHAMBWA YUKO WAP
Ndio kuchukia ?Wananchi hawakufurahia kauli hiyo na mpaka Sasa kutoka Kwa karibu wa CCM Jimbo la Kisesa hakuna mwana CCM yeyote aliyebeba form
Mgombea wetu atachukua na kurudisha form siku ya mwisho. Mtashangaa.Wakati wa Jimbo la Kisesa hawajachukua fomu ya ubunge hadi Leo
Wanachama wa CCM wameshinikiza Mpina ndo agombee pekee
Mwenyekiti wa CCM Taifa alimwita Luhaga Mpina kuwa ni mbunge wa Taifa na sio mbunge wa Kisesa na huwa hawatetei wananchi wa Kisesa
Pia Mwenyekiti wa CCM alisisitiza wananchi wasimrudishe bungeni
Baadaye Mpina akamjibu kuwa anafurahia kupandishwa cheo na kuitwa mbunge wa Taifa
Wananchi hawakufurahia kauli hiyo na mpaka Sasa kutoka Kwa karibu wa CCM Jimbo la Kisesa hakuna mwana CCM yeyote aliyebeba form
Hii ndo Kanda ya ziwa
Watu wana misimamo yao
Watamjazisha form mtu wa kupanga mradi tu wamchomoe Mpina...ila raia wanatakiwa kugoma.Mgombea wetu atachukua na kurudisha form siku ya mwisho. Mtashangaa.
Bado wanajipanga watachukua tu. Yupo jamaa anaitwa GAMBAMALA very HOTWakati wa Jimbo la Kisesa hawajachukua fomu ya ubunge hadi Leo