Kama wanakidhi vigezo vilivyowekwa na Chama Waache wagombea. Katiba ya Chama ipo waziNimeshituka sana kusikia Pierre Liquid anagombea ubunge kigamboni na hamorapa Mtwara vijijini,CCM haina watu kabisa
Raia hawana maana kwa watawala wa Africa.Watamjazisha form mtu wa kupanga mradi tu wamchomoe Mpina...ila raia wanatakiwa kugoma.
Akina dotto magari wamechukuaHata Kinondoni fomu moja tu ya P
Ngoja nitafute laki Tano nika battle na PONJOROO WA KINONDONII 🤣Hata Kinondoni fomu moja tu ya P
P. Kivipi? Au PONJORO amepigwa na jasusi la mbinguni?Hata Kinondoni fomu moja tu ya P
Lucas MwashambwaHatari sana LUCAS MWASHAMBWA YUKO WAP
Kanda ya Ziwa ndiko CCM inapataGA kura nyingi.Wakati wa Jimbo la Kisesa hawajachukua fomu ya ubunge hadi Leo
Wanachama wa CCM wameshinikiza Mpina ndo agombee pekee
Mwenyekiti wa CCM Taifa alimwita Luhaga Mpina kuwa ni mbunge wa Taifa na sio mbunge wa Kisesa na huwa hawatetei wananchi wa Kisesa
Pia Mwenyekiti wa CCM alisisitiza wananchi wasimrudishe bungeni
Baadaye Mpina akamjibu kuwa anafurahia kupandishwa cheo na kuitwa mbunge wa Taifa
Wananchi hawakufurahia kauli hiyo na mpaka Sasa kutoka Kwa karibu wa CCM Jimbo la Kisesa hakuna mwana CCM yeyote aliyebeba form
Hii ndo Kanda ya ziwa
Watu wana misimamo yao
Siasa uchwara za akina Lissu wabaki nazo huko huko!Kanda ya ziwa tunajielewa
Idd azan kachukuaHata Kinondoni fomu moja tu ya P
Wakati wa Jimbo la Kisesa hawajachukua fomu ya ubunge hadi Leo