Jimbo la Kisesa hakuna aliyechukua form ya ubunge, wanamtaka Luhaga Mpina tu

Hutoamini pale utakapomuona Mbowe anachukua form kuomba ridhaa ya wana CCM agombee ubunge wa jimbo la Kisesa.​
 
Nimeshituka sana kusikia Pierre Liquid anagombea ubunge kigamboni na hamorapa Mtwara vijijini,CCM haina watu kabisa
 
Jimbo la Kisesa/La Mpina tayari kuna mgombea amejitokeza ambaye ni Lusingi Sitta ambaye ni Meneja wa CRDB Kanda ya Ziwa.

Mpina hawezi kupitishwa na CCM hata apate kura zote za wajumbe!

Atashinda ubunge akiwa chama kingine siyo CCM!
 
Kanda ya Ziwa ndiko CCM inapataGA kura nyingi.
 
 

Attachments

  • IMG-20250725-WA0000.jpg
    88.8 KB · Views: 16
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…