Jimbo la Ludewa: Mgombea wa CHADEMA ashindwa kukidhi vigezo. Joseph Kamonga wa CCM ateuliwa

Jimbo la Ludewa: Mgombea wa CHADEMA ashindwa kukidhi vigezo. Joseph Kamonga wa CCM ateuliwa

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
CHADEMA LUDEWA WAPIGWA CHINI

Ndg. Joseph Kamonga ambaye ni mgombea wa ubunge Jimbo la Ludewa mkoani Njombe kupitia CCM ameteuliwa na msimamizi wa uchaguzi, Sunday Deogratius kugombea ubunge jimboni humo. Aidha, msimamizi huyo amesema mgombea wa CHADEMA hajakidhi vigezo kisheria.
 
Back
Top Bottom