Utakatifu na haki
Member
- Jun 17, 2020
- 75
- 268
Habari zenu wakuu.
Jimbo la Masasi ambalo lilikuwa chini ya mbunge Dkt Chuachua! Kwenye kura za maoni Dr chuachua alipigwa chini na mwambe ambaye anaonekana ana ushawishi mkubwa sio kwa wajumbe lakini pia ni kipenzi cha wananchi! Katika uchunguzi wangu nimengundua hili CCM isipokuwa makini jimbo linaenda Upinzani.
1: Vongozi wengi wa CCM hapa Masasi wapo upande Dkt Chuachua, na wengine pia ni watumishi wa Serikali!
2: Dkt Chuachua akiamua kujiunga na upinzani na kugombea ubunge nina uhakika atashinda kwa sababu tiyari ana watu wake tena viongozi wa CCM
3: Mwambe anapendwa na wananchi lakini Dkt. Chuachua anapendwa na viongozi wa CCM.
4: Kuna kila sababu kama Mwambe atapitishwa na kamati kuu basi CCM muangalie namna ya kukaa na viongozi wa hapa Masasi ili wawe timu moja!
4: Kamati ikimpitisha Dkt. Chuachua kuwa mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM, basi mjue jimbo limeenda upinzani kwa sababu wananchi asilimia zaidi ya 80 wapo kwa Mwambe.
5: Ili kumridhisha mtu wao aliyeangushwa hawa viongozi wa CCM walio upande wa Chuachua wanaweza leta figisu ili Mwambe apigwe chini na jimbo liende upinzani ionekane kuwa Dkt. Chuachua ndo alikuwa mtu sahihi!( majimbo mengi upinzani hushinda kwa staili hii Mf Ndanda 2015)
Note: Kamati Kuu kuweni makini sana!! Mimi sina chama kura yangu 100% ipo kwa Dkt. Magufuli ila huku chini naangalia mtu haijalishi ni upinzani( maendeleo hayana vyama)