Mjumbe asante kwa update zakoHii ni baada ya wananchi wa jimbo hilo kukubaliana kwamba mbunge wao atatokana na CHADEMA , ambaye ni Liberatus Mwang'ombe .
Angalia ushahidi huu kutoka Ubaruku
View attachment 1611025View attachment 1611026View attachment 1611027View attachment 1611028
Hakika mkuu, wajumbe ni watanzania wale wale sawa na wapiga kura.Wanasiasa hawaaminiki mia kwa mia na wapigakura hawatabiriki sawa na wajumbetu.
Kuna wagombea hawataamini mbao za matangazo ya uchaguzi
Ndio huyu Liberatus Mwangombe raia wa marekani. Serikali yoyote makini aiwezi ruhusu puppet kuwa mbunge wa watanzania.Liberatus anafanya kazi Marekani mambo ya afya ya jamii? kuna jamaa anajina hili hili kipindi cha covid-19, Azam TV walikuwa wanafanya nae mahojiano Mara kwa Mara kuhusu hali ya covid 19 America. Huwa namfananisha sana na yeye
mkuu erythrocyte mbona kmya asie na mvuto kawapiga kihalali kabisa mnabak kuchoma nyumba za watuHii ni baada ya wananchi wa jimbo hilo kukubaliana kwamba mbunge wao atatokana na CHADEMA , ambaye ni Liberatus Mwang'ombe .
Angalia ushahidi huu kutoka Ubaruku
View attachment 1611025View attachment 1611026View attachment 1611027View attachment 1611028
Binadamu yeyote anayeweza kushabikia ushindi huu wa ccm basi bila shaka ni kichaamkuu erythrocyte mbona kmya asie na mvuto kawapiga kihalali kabisa mnabak kuchoma nyumba za watu
Ndio huyu Liberatus Mwangombe raia wa marekani. Serikali yoyote makini aiwezi ruhusu puppet kuwa mbunge wa watanzania.
Tar 28 atarudi mahabala akatumikie wamarekani wenzie.
ndo sisi vichaa tutakao ongoza nchi yenye raia wenye akil timamuBinadamu yeyote anayeweza kushabikia ushindi huu wa ccm basi bila shaka ni kichaa
Vituko huwa haviishi duniani.Hii ni baada ya wananchi wa jimbo hilo kukubaliana kwamba mbunge wao atatokana na CHADEMA , ambaye ni Liberatus Mwang'ombe .
Angalia ushahidi huu kutoka Ubaruku
View attachment 1611025View attachment 1611026View attachment 1611027View attachment 1611028
Kwa kuwa ameficha kwa kiasi kikubwa akisaidiwa na waliomtuma, anaachwa arukeruke tu mwisho wa siku atarudi maabara hatokaa awe kiongozi wa watanzania. That will never happen...angekuwa sio raia wa Tz angeshawekewa pingamizi, na kuenguliwa ktk hatua za uteuzi.
Ndugu AMERICA is lead by an IDIOTLibe is the real deal. America does not train idiots
Mbele ya mtutu , upinzani umekufaAliyesema atauwa upinzani next week anakufa yeye kisiasa
Mtutu ungekuwa unasababisha ushindi endelevu (sustainable), akina Mandela wasingepata uhuru kamwe, maana wale Makaburu walikuwa wanamiliki silaha za kila aina hadi nukesMbele ya mtutu , upinzani umekufa
Raia wa South Africa wanajitambua, huwezi kuwafananisha na watanzania walio mchele mchele.Mtutu ungekuwa unasababisha ushindi endelevu (sustainable), akina Mandela wasingepata uhuru kamwe, maana wale Makaburu walikuwa wanamiliki silaha za kila aina hadi nukes
Kwa kuwa ameficha kwa kiasi kikubwa akisaidiwa na waliomtuma, anaachwa arukeruke tu mwisho wa siku atarudi maabara hatokaa awe kiongozi wa watanzania. That will never happen.
Libe ni mmarekani na anaupenda umarekani, hatokaa aongoze watanzania. Siku akiukubali huo ukweli ataacha kuchoma pesa zake na kuwaacha ndugu zake na madeni.