Uchaguzi 2020 Jimbo la Mbarali shughuli imekwisha

Uchaguzi 2020 Jimbo la Mbarali shughuli imekwisha

Wanasiasa hawaaminiki mia kwa mia na wapigakura hawatabiriki sawa na wajumbetu.
Kuna wagombea hawataamini mbao za matangazo ya uchaguzi
Hakika mkuu, wajumbe ni watanzania wale wale sawa na wapiga kura.

Wakawaulize watia nia wa CCM wajumbe waliwatenda nini. Ndiposa watajua wapiga kura sio mashoga
 
Liberatus anafanya kazi Marekani mambo ya afya ya jamii? kuna jamaa anajina hili hili kipindi cha covid-19, Azam TV walikuwa wanafanya nae mahojiano Mara kwa Mara kuhusu hali ya covid 19 America. Huwa namfananisha sana na yeye
Ndio huyu Liberatus Mwangombe raia wa marekani. Serikali yoyote makini aiwezi ruhusu puppet kuwa mbunge wa watanzania.
Tar 28 atarudi mahabala akatumikie wamarekani wenzie.
 
..angekuwa sio raia wa Tz angeshawekewa pingamizi, na kuenguliwa ktk hatua za uteuzi.
Kwa kuwa ameficha kwa kiasi kikubwa akisaidiwa na waliomtuma, anaachwa arukeruke tu mwisho wa siku atarudi maabara hatokaa awe kiongozi wa watanzania. That will never happen.

Libe ni mmarekani na anaupenda umarekani, hatokaa aongoze watanzania. Siku akiukubali huo ukweli ataacha kuchoma pesa zake na kuwaacha ndugu zake na madeni.
 
Eti ana connection na wallstreet..🤣🤣🤣🤣
 
Mtutu ungekuwa unasababisha ushindi endelevu (sustainable), akina Mandela wasingepata uhuru kamwe, maana wale Makaburu walikuwa wanamiliki silaha za kila aina hadi nukes
Raia wa South Africa wanajitambua, huwezi kuwafananisha na watanzania walio mchele mchele.
 
Kwa kuwa ameficha kwa kiasi kikubwa akisaidiwa na waliomtuma, anaachwa arukeruke tu mwisho wa siku atarudi maabara hatokaa awe kiongozi wa watanzania. That will never happen.

Libe ni mmarekani na anaupenda umarekani, hatokaa aongoze watanzania. Siku akiukubali huo ukweli ataacha kuchoma pesa zake na kuwaacha ndugu zake na madeni.

..Libe asingeweza kugombea ubunge 2015 na 2020 huku siyo raia wa Tanzania.
 
Back
Top Bottom