Uchaguzi 2020 Jimbo la Mbarali shughuli imekwisha

Uchaguzi 2020 Jimbo la Mbarali shughuli imekwisha

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii ni baada ya wananchi wa jimbo hilo kukubaliana kwamba mbunge wao atatokana na CHADEMA , ambaye ni Liberatus Mwang'ombe .

Angalia ushahidi huu kutoka Ubaruku

Subpost 3 - Ubaruku mmenipa heshima sana leo tena.   - SeraMbadala - CHADEMA  - Uhu ( 426 X 64...jpg
Subpost 4 - Ubaruku mmenipa heshima sana leo tena.   - SeraMbadala - CHADEMA  - Uhu ( 426 X 64...jpg
Subpost 2 - Ubaruku mmenipa heshima sana leo tena.   - SeraMbadala - CHADEMA  - Uhu ( 426 X 64...jpg
Subpost 1 - Ubaruku mmenipa heshima sana leo tena.   - SeraMbadala - CHADEMA  - Uhu ( 426 X 64...jpg
 
Hapa kweli shughuli imeisha! tatizo kutangazwa mpaka watu wanoe mapanga kama ilivyotokea kwa waitara ukonga 2015 Pugu sekondari wakurya walinoa mapanga barabarani ndio akatangazwa .
 
Huko mbarali si ndo majuzi ccm walipiga mabomu kiuonevu mkutano wa chadema, tegemeo lao ni kuharisha uchaguzi wamebanwa kila engo za wizi mbinu zote Sumaye na Lowasa walizitoa Siri walipokuja upinzani
 
Libe is the real deal. America does not train idiots
Liberatus anafanya kazi Marekani mambo ya afya ya jamii? kuna jamaa anajina hili hili kipindi cha covid-19, Azam TV walikuwa wanafanya nae mahojiano Mara kwa Mara kuhusu hali ya covid 19 America. Huwa namfananisha sana na yeye
 
Huyu kijana ana network ya kutisha worldwide
Huyu Libe kama yule mshikaji Genius, namuonaga Fox News na BBC ndio power behind him kama nilivyosikia, basi atafika mbali sana. Jamaa is connected and very powerful kwa mwafrika. Alikuwa anaandikaga economic articles hapa JF
articles za kufa mtu. Jina linanitoka lakini jamaa yuko Wallstreet, ndio mmoja wa ma geniuses wa Wallstreet
 
Back
Top Bottom