Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,380
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MwanzaNyamagana kwa yule dogo Pambalu au kwingine?
Wenje alienda wapi kwani?Nyamagana mgombea wa ccM aliyesimamishwa ni dhaifu sana na watu wamemchoka hata ndani ya chama tatizo upinzani hawako serious sana kuonyesha nia ya kulichua jimbo hata huyo wa ACT hana upepeo wowote wa kushindana ..... Wamgepata mtu sahihi jimbo lingeondoka ccm kiurahic sana
Swala la kuchangiwa tena , kwani yeye hajajiandaaa its too late kwake ...... Atumie nguvu zake ..... Kujikwamua
Yupo ROLYA HUKO NDIO ANAGOMBEA.... WENJE ANGERUDI NYAMAGANA ANGETOA UPINZANI MKUBWA SANA UPANDE WA NYAMAGANA NA MJI UNGECHAGAMKA KULIKO HUYO WA A. C. T ANAYETEMBEZA BAKULI SASA HIVI BADALA YA KUMWAGA SERAWenje alienda wapi kwani?
Jamaa aliyetuma ujumbe ana walakini waweza kuta mgombea hana habari na hilo bakuliYupo ROLYA HUKO NDIO ANAGOMBEA.... WENJE ANGERUDI NYAMAGANA ANGETOA UPINZANI MKUBWA SANA UPANDE WA NYAMAGANA NA MJI UNGECHAGAMKA KULIKO HUYO WA A. C. T ANAYETEMBEZA BAKULI SASA HIVI BADALA YA KUMWAGA SERA
Yupo rolya huko kahama jimbo la mwamza kaona gumu kwake ... Kutoka na chama chake kuendekeza siasa za kiwanaharakati ambazo kwa wasukuma haziwaingia kaemda mkoa wa MARA hukoEzekiel wenje yuko wapi au amehama chama maana kama nilisikia hivi mzee baba anamuombea kura
Kwa chama kipi?Yupo rolya huko kahama jimbo la mwamza kaona gumu kwake ... Kutoka na chama chake kuendekeza siasa za kiwanaharakati ambazo kwa wasukuma haziwaingia kaemda mkoa wa MARA huko
Ulilosisema kaka inawezekana kabisa hata hiyo acount unaweza ukakutà kaweka yake hivi inawezekana vipi mgombea anagombea huuku anatembeza bakuli ..... Tunapaswa kuwa makini ..... Humu watu wanatafuta hela kwa stayle mbalimbaliJamaa aliyetuma ujumbe ana walakini waweza kuta mgombea hana habari na hilo bakuli
Yupo chademaKwa chama kipi?
Mzee baba kamuombea kura jana[emoji23][emoji23]Yupo chadema
Kaona amejiongeza kwenda kule ... Maana amesoma nyakati jimbo la nyamagana ni gumi ila ni rahic kwa mtu aliyejipanga sio kutembeza bakuliMzee baba kamuombea kura jana[emoji23][emoji23]
Mwaka huu tutaona maigizo MengiNimeona picha ya Kachero m'bobezi Membe nimejikuta nimecheka sana sijui hata kwanini yani [emoji848]