Uchaguzi 2020 Jimbo la Nyamagana kurudi Upinzani 2020 Kwa ACT-Wazalendo

Uchaguzi 2020 Jimbo la Nyamagana kurudi Upinzani 2020 Kwa ACT-Wazalendo

Ezekiel wenje yuko wapi au amehama chama maana kama nilisikia hivi mzee baba anamuombea kura
Anaitwa Hezekia Wenje, yuko rorya nasikia mkulu alidhani ni mgombea kupitia CCM akawa anamnadi akakumbushwa kwamba mgombea wa CCM ni Jaffar.
 
Anaitwa Hezekia Wenje, yuko rorya nasikia mkulu alidhani ni mgombea kupitia CCM akawa anamnadi akakumbushwa kwamba mgombea wa CCM ni Jaffar.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nyamagana mgombea wa ccM aliyesimamishwa ni dhaifu sana na watu wamemchoka hata ndani ya chama tatizo upinzani hawako serious sana kuonyesha nia ya kulichua jimbo hata huyo wa ACT hana upepeo wowote wa kushindana ..... Wamgepata mtu sahihi jimbo lingeondoka ccm kiurahic sana
Swala la kuchangiwa tena , kwani yeye hajajiandaaa its too late kwake ...... Atumie nguvu zake ..... Kujikwamua
Mkuu unakaa Nyamagana kama mimi au ni stori za kuambiwa tu?
 
Back
Top Bottom