Uchaguzi 2020 Jimbo la Nyamagana kurudi Upinzani 2020 Kwa ACT-Wazalendo

Nyamagana mgombea wa ccM aliyesimamishwa ni dhaifu sana na watu wamemchoka hata ndani ya chama tatizo upinzani hawako serious sana kuonyesha nia ya kulichua jimbo hata huyo wa ACT hana upepeo wowote wa kushindana ..... Wamgepata mtu sahihi jimbo lingeondoka ccm kiurahic sana
Swala la kuchangiwa tena , kwani yeye hajajiandaaa its too late kwake ...... Atumie nguvu zake ..... Kujikwamua
 
Una haribu sasa DON kwani watu wanaofuatilia VIOJA vyako na kauli yako kuwa karibu tumuunge MKONO MWENZETU wataona kuwa jamaa naye ni mtu wa Masihara na kutompigia kura
 
Hii ni moja ya thread za aibu jamvini
 
Wenje alienda wapi kwani?
 
Wenje alienda wapi kwani?
Yupo ROLYA HUKO NDIO ANAGOMBEA.... WENJE ANGERUDI NYAMAGANA ANGETOA UPINZANI MKUBWA SANA UPANDE WA NYAMAGANA NA MJI UNGECHAGAMKA KULIKO HUYO WA A. C. T ANAYETEMBEZA BAKULI SASA HIVI BADALA YA KUMWAGA SERA
 
Jamaa aliyetuma ujumbe ana walakini waweza kuta mgombea hana habari na hilo bakuli
 
Ezekiel wenje yuko wapi au amehama chama maana kama nilisikia hivi mzee baba anamuombea kura
 
Ezekiel wenje yuko wapi au amehama chama maana kama nilisikia hivi mzee baba anamuombea kura
Yupo rolya huko kahama jimbo la mwamza kaona gumu kwake ... Kutoka na chama chake kuendekeza siasa za kiwanaharakati ambazo kwa wasukuma haziwaingia kaemda mkoa wa MARA huko
 
Yupo rolya huko kahama jimbo la mwamza kaona gumu kwake ... Kutoka na chama chake kuendekeza siasa za kiwanaharakati ambazo kwa wasukuma haziwaingia kaemda mkoa wa MARA huko
Kwa chama kipi?
 
Jamaa aliyetuma ujumbe ana walakini waweza kuta mgombea hana habari na hilo bakuli
Ulilosisema kaka inawezekana kabisa hata hiyo acount unaweza ukakutà kaweka yake hivi inawezekana vipi mgombea anagombea huuku anatembeza bakuli ..... Tunapaswa kuwa makini ..... Humu watu wanatafuta hela kwa stayle mbalimbali
 
Mzee baba kamuombea kura jana[emoji23][emoji23]
Kaona amejiongeza kwenda kule ... Maana amesoma nyakati jimbo la nyamagana ni gumi ila ni rahic kwa mtu aliyejipanga sio kutembeza bakuli
 
Nimeona picha ya Kachero m'bobezi Membe nimejikuta nimecheka sana sijui hata kwanini yani 🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…