Jimbo la Texas Nchini Marekani latangaza mgao wa umeme

Mimi ndio nemeelewa vizuri hiyo habari kuwa mgao wa umeme umechangiwa ongezeko la baridi na barafu
 
Hapa lazima tu BAVICHA & Ufipa wamlaumu JPM, Sisiemu, Polepole na TANESCO
 

Texas 695,662 km2
Tanzania 947,303 km2
 
Najua kuna barafu limeanguka la kufa mtu huko, je linaweza kuchangia
Hapana. Umeme haugandi kwenye baridi, barafu haijachangia. Gridi ya mkoa imeelemewa na mahitaji.
 
Hapana. Umeme haugandi kwenye baridi, barafu haijachangia. Gridi ya mkoa imeelemewa na mahitaji.
Kuelemewa kumekuja sasa hivi tu?,Ina maana unataka kusema matumizi yameongezeka ghafla?..Kitu kisichosemwa ni kwamba,sababu kuu ni Wind turbines zimeganda hazizunguki kutokana na barafu kali,hii imeathiri watu zaidi ya 1M texas wanaotegemea umeme wa upepo.Haya wale wazee wa green new deal na green energy hutowasikia kwa sasa,watasema tu eti miundombunu imezidiwa,general term kama hizo huku ukweli wanaujua.
Yaani Texas na utajiri wa gesi na mafuta uliopo,haikutakiwa kupata tatizo la umeme hata siku moja,.Rais Joe Biden alisha ban uchimbaji wa mafuta na gesi kwenye mashamba ya serikali,kisa wanahamia kwenye green energy kama hizo wind turbines zilizoganda kwenye barafu.Haya wapambane na hali yao...
 
MIMAREKANI akili haina wanategemea chanzo kimoja tu cha nishati ona sasa!! WAje wajifunze Tanzania
 
Texas is known for its sprawling deserts and excruciating heatwaves - but right now, it's blanketed in a thick layer of ice.

The state is seeing some of its coldest temperatures in more than 30 years, with some areas breaking records that are more than a century old.

Parts of Texas hit 0F (-18C) on Sunday, and weather warnings are going to stay in place through the week.

So why is this normally boiling state suddenly freezing over?

According to the US National Weather Service (NWS), this is down to an "Arctic outbreak" that originated just above the US-Canada border, bringing a winter snow storm as well as plummeting temperatures.

Cold air outbreaks such as these are normally kept in the Arctic by a series of low-pressure systems, the NWS said. However, this one moved through Canada and spilled out into the US last week.(BBC)
 
Umemuumbua!

Point aliyotaka kutuonyesha kuwa hta marekani kuna mgao wa umeme kwa hio tulioko huku dunia ya tatu tusilalamike

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Uzuri wa wenzetu changamoto yoyote ile huwa inatafutiwa solution

Kufikia kipindi km hiki mwakani hii ishu itakuwa ipo solved

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Huyu rais kaharibu uchumi kwa muda mfupi alioingia kwa office, sasa watt kutoka majimbo mengine wanakimbilia Texas, kwani kodi na Mazingira ya biashara ni Rafiki, hivyo uhitaji wa nishati na huduma nyingine ni Mkubwa sana, Kiongozi anayetaka kuinua Taifa Lake kiuchumi ajifunze kutoka Texas.
 
Wanaita the great exodus ....
 
Reactions: Lob
Hali si shwari kwakweli,kwa nchi ambayo kuna hali ya baridi kali namna hiyo halafu hakuna umeme ni hatari sana...
 

Tirampu anamuhujumu Jo badeni ,inatakiwa jo badeni afukuze masalia ya tirampu ili aongoze vizuri.
 
Umesahau na GDP yao ni kubwa mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…