britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Komredi, sasa kila utabiri ukitimia, si utaanza kusaka mikakati ya kumroga? Mm nashukuru sana kwamba mengine hayatimii ili hawa watu muhimu waendelee kuishi. Vinginevyo wataliwa vichwa saa sita adhuhuri.Mzeebaba tangu unipige kamba sikuamini tena kila prediction unayotoa unatoa boko umekua km Aziz tu sio Andamwile Aziz Ki
Nimetoka kapaMSG ndo anaandaliwa kushika jimbo ambalo ni Zanzibar’s ya wamasaai, kulinda Maslahi za familia ya mkuu wa hekaya alostaafu,
Itakuwa Mwaka 2025 wala si now
Ikumbukwe mzee wa kuambiwa changanya zako ndo mmiliki halali wa Mali zinazosemekana za MSG!
Vikao 10 sasa !!!
Britanicca
Hiyo timu mbona haimshindi. Bongo hata kilaza mkuu anaweza ongoza timu, watu maarufu kwenye mpira ndio hawa kina Manala na Mzee Mpiri.Ataiweza kweli kigamboni kama “agnya” inamshinda?
InjiniaInjinia au CEO Mwenyewe ?
Nimetoka kapa
p
Hata mimi kwa sasa simuamini hata kidogo taarifa zake.Mzeebaba tangu unipige kamba sikuamini tena kila prediction unayotoa unatoa boko umekua km Aziz tu sio Andamwile Aziz Ki
Wewe ni mtu na nusu. Asante kwa kutufungulia codesZanzibar's ya wamasai=kigamboni
MSG = GSM
📌📌Zanzibar's ya wamasai=kigamboni
MSG = GSM
Mbona Msg ana pet pet huko mitaa ya Dodoma!Nimetoka kapa
p