Tetesi: Jimbo la Zanzibar ya Wamasaai linaenda kwa mwangalizi wa Mali Mkuu wa Hekaya aliyestaafu

Umejilipua Mzee mwenzangu 🤣🤣🤣
GSM Mwenyewe ? Au Don Salah ? Maana enzi za Jakaya alijuwaga Balozi wa Guangzhou.
Sema pale tusubirie Kuna wahuni wamekaaa sehemu wametulia wanasoma mchezo we unaweza sema Don Salah au GSM lkn counter inaweza pigwa sekunde yeyote
 
Kwahiyo ilibidi bygone a bygone Ili kuacha gap hilo!!?Ili msg alambe jimbo!!?

Ongeza nyama !
 
Huenda hiki kikundi cha umafia huenda kimemuua wa wana kisiwa ndani ya Mzizima
 
We si ulipotosha kina Mdee wasingeweza fukuzwa how can we trust you again.
 
Coded: MSG
Uncoded: GSM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…