TANZIA Jimmy Carter, aliyekuwa Rais wa 39 wa Marekani afariki dunia

RIP President Carter.

Nobel laureate. Conqueror of Mount Kilimanjaro.
 
JPM aliiba kura mwaka 2020,ilipofika 2021 ikajibu.
Wizi WA kura ni laana kubwa
 
jimmy carter amefariki dunia mwaka mmoja baada ya kifo cha mke wake Eleanor Rosalynn Carter aliyefariki November 19, 2023 ( August 18, 1927 – November 19, 2023). Kuna lakujifunza hapa ijapo sio kila wakati ILA ni wanaume wachache wanaoishi miaka mingi baada ya vifo vya wake wao waliokuwa wanawapenda. RIP Jimmy Carter
 
Mtu kafariki at 100 hiyo miaka mingi ambayo angeishi baada ya mke wake ambaye wamepishana mwaka mmoja kufariki ingetoka wapi? Logically, kanuni yako ni void and null kwa mfano wa Carter.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…