Jimmy Chansa anajua sana kuimba ila hatoki kimuziki

pwilo

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2015
Posts
10,913
Reaction score
13,876
Wakuu habari zenu,
Nimekuwa nikimfuatilia na kumuona kwa mda mrefu msanii anayejulikana kama (Jimmy chansa)anaonekana ana kipaji cha kuimba ila bado hapati support anayo stahili.

Nyimbo zake kama 'nitamtafuta' na 'we mchoyo' ni Kali sana ingawa hazijasikika sana kwa mashabiki.
Kuna mda alikuwa karibu sana na wasanii kama JumaJux na Hemedi (PhD) nilidhani labda wange mvusha pale alipo ila hali imeendelea kuwa vile vile kwake na kuna taarifa pia kwamba ni doctor.

Wakuu anayemfahamu huyu kijana details zake na management yake kwa undani naona kama wanamchelewesha hivi kumtoa
Wasalam ni hayo tu. View attachment 1191602
 
Dah mnyamwezi anakula Vera Sidika anakula vitu laini sana huyu Dogo
 
Yupo vizuri sana kwenye kuimba, mimi pia ni shabiki wake. Ila dunia inamtupa sana. Mungu ambariki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…