Jimmy Chansa anajua sana kuimba ila hatoki kimuziki

Jimmy Chansa anajua sana kuimba ila hatoki kimuziki

Jimmy Chansa ni Doctor kama Bonta maarifa chaliangu..So anakosa time ya ku'handle two things at once.
 
ngoma yake kali ni ile sijakusahau, ila mtoa kua wazi usije kua wewe ndo Jimmy Chansa mwenyewe umekuja kutafuta mashabiki Jf,toa ngoma kali mashabiki watakuja tu
 
ngoma yake kali ni ile sijakusahau, ila mtoa kua wazi usije kua wewe ndo Jimmy Chansa mwenyewe umekuja kutafuta mashabiki Jf,toa ngoma kali mashabiki watakuja tu
Anatoa ngoma Kali sema hayupo serious ndo maana nikaleta huu uzi
 
Jamaa ni Dr so inawezekana haupi sana mziki priority ila Jimmy anajua sanaa...!![emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Kama sikosei Dogo ni Doctor by profession. Alisoma na janja mmoja kule Bungando. I guess nayeye anamalizia internships.
 
Hilo jina lake ndo tatizo, limekaa kikatili na kiujanja ujanjaaa kama movie actor.
 
Jamaa mi namkubali sana anaimba sana,,,,me nadhan kashatoka huez sema jamaa ni underground et,,,ni kwamba tuu haapdate watu na mziki wake mara kwa mara but nahisi hii inachagizwa na hyo kazi ya udaktari but jamaa itz big artist huez sema hajatoka
 
Back
Top Bottom