Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 18,069
- 25,172
Jimmy Cliff alikuwa mwanamuziki wa Reggae kutokea Kingston Jamaica na ndiye aliyekuwa mashindani mkubwa sana wa Bob Marley. Wote Jimmy Cliff na Bob Marley walivuma sana miaka ya 70 kabla Bob hajafariki.
Jimmy amefariki Nov 24 2025 akiwa na umri wa miaka 81. Aliishi miaka 45 zaidi ya Bob Marley ambaye alifariki akiwa na umri wa miaka 36 tu. Baadhi ya nyimbo zake zilikuwa kama hizi hapa chini; Mola wetu ailaze roho yake pema peponi:
View: https://www.youtube.com/watch?v=m3Uh24QiJUI
View: https://www.youtube.com/watch?v=MrHxhQPOO2c
View: https://www.youtube.com/watch?v=uAGOXsRvDVQ
View: https://www.youtube.com/watch?v=7Znh0OM9jiA
View: https://www.youtube.com/watch?v=Jg7qsW8qboE