jimmy jimble
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 216
- 216
KaribuuuWasalaam wakuu na wasiowakuu humu ndani ya ngome.mlioniulizia ni kwamba nilikua nje ya nchi kuwasalimu baadhi ya wanangu sasa nimerudi na mapene.njoeni tujidai hapa sinza kamanyora
Sent using Jii Forummobile app
Karibu mkuuDuuuh
poa sanaKaribu mkuu
Mondray mkuu
Za masiku mwamba
Asante sana
Si unajua jf ni mtakuja village. Nyumbani hapa.shukrani mkuu nafurahi kukuonaSafi naona ulinikimbia but Happy umerudi salama..