REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,664
- 9,929
jumanne kabwela
Bad news moja kati ya watangazaji wakali kupita pale kiss fm.My name is joakim mwangaruguru this i kiss from mwanza tanzania
R.I.P JOAKIM
Namtafuta jimy mponda wa shamba kubwa
Ni suala la makubaliano mkuu, ila anaweza sikika radio yeyote.Seriously ndugu!? So, tumtegemee kuwa radio station ipi!?
They tried and failed. Should we put the blame on God?Kibongobongo radio zilizokuwa zinatangaza kwa kiingereza zimeshindwa kuliteka soko mfano mzuri ni Ea radio na kiss fm Mwanza.
Tumepitwa parefu na radio za hapo jirani tu Kenya.
Ninaikumbuka kiss fm ya enzi hizo hakika lilikuwa darasa tosha la kujifunza lugha ya malkia.
God doesn't require us to succeed,he only requires that you try