Jimmy Kabwe Na Wenzake Wako Wapi!?

Jimmy Kabwe Na Wenzake Wako Wapi!?

Jimmy Kambwe anakimudu kiingereza. No doubt abt that. Mara ya mwisho nilimsikia Classic FM 103.3. Where the hell is he now?!!
 
Classic FM tu ndo wanamudu English bongo. Radio zingine zote utumbo mtupu.....
 
Jimmy kabwe yupo bado, tulikuwa nae juzi kujadili proposal mbalimbali za content creation kwa ajili ya radio
 
Jimmy k!?e yupo bado, tulikuwa nae juzi kujadili proposal mbalimbali za content creation kwa ajili ya radio
Seriously ndugu!? So, tumtegemee kuwa radio station ipi!?
 
Jimmy Kambwe anakimudu kiingereza. No doubt abt that. Mara ya mwisho nilimsikia Classic FM 103.3. Where the hell is he now?!!
Kwamba yuko wapi na mimi ningependa kujua kwa kweli.
 
Jumanne Kabwela Huyu ndo aliimbwaga na Prof Jay" Bitooz nyangeema eti anajiita TUPAC!!
BItoozi Nyangema anataka aitwe 2Pac. Sidhani kama mlengwa alikuwa Jimmy Kabwe.
 
My name is joakim mwangaruguru this i kiss from mwanza tanzania

R.I.P JOAKIM
Bad news moja kati ya watangazaji wakali kupita pale kiss fm.
Vitoto vya siku hizi ooh mchomvu sijui matakataka gan mengine huko.
Mtangazaji mzuri awe bilingual aimudu vyema lugha sio hawa wahuni wa hizi zama.

God doesn't require us to succeed,he only requires that you try
 
Kibongobongo radio zilizokuwa zinatangaza kwa kiingereza zimeshindwa kuliteka soko mfano mzuri ni Ea radio na kiss fm Mwanza.
Tumepitwa parefu na radio za hapo jirani tu Kenya.
Ninaikumbuka kiss fm ya enzi hizo hakika lilikuwa darasa tosha la kujifunza lugha ya malkia.

God doesn't require us to succeed,he only requires that you try
They tried and failed. Should we put the blame on God?
 
Back
Top Bottom