Ama kweli shule haisaidi kitu basi, unasema jimmy kindoki ni msomi.. Mbona akiongea kwenye media ni kama mtu chemga fulani hivi[emoji848]!??
Ndio elimu yetu mkuu huoni Chalamila ana masters. Yale ni mbwembwe tu ila zimo nyingi tu kichwaniAma kweli shule haisaidi kitu basi, unasema jimmy kindoki ni msomi.. Mbona akiongea kwenye media ni kama mtu chemga fulani hivi[emoji848]!??
TFF wameruhusu na Wehu wagombee?
Football is for fans, Shabiki wa Yanga kindakindaki yuko tayari kuchukua fomu ya kugombea ujumbe pale TFF kesho au kesho kutwa.
Vijana tupeane sapoti, kijanja huyu msomi na mwenye mapenzi ya dhati na mpira, yupo tayari kutusogeza mbele zaidi ya hapa.
Ukiondoa mapenzi yake ya Yanga, huku atakuwa neutral. Mpeni nafasi.Tunahitaji vijana walio na damu changa waweze kutusogeza.mambo mengine tutajua baadae kidogo kuwa kwa Nini ameamua kugombea na sera zake hasa ni zipo?!
Au mnesemaje wadau wa michezo?
Mtu ambaye anaweza kumuweka mkewe rehani huyo hafai kabisa