Jimmy Kindoki kuchukua fomu ya ujumbe wa kamati kuu TFF

mikedean

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2018
Posts
3,267
Reaction score
4,634
Screenshot_20210610-170525_1.jpg

Football is for fans, Shabiki wa Yanga kindakindaki yuko tayari kuchukua fomu ya kugombea ujumbe pale TFF kesho au kesho kutwa.

Vijana tupeane sapoti, kijanja huyu msomi na mwenye mapenzi ya dhati na mpira, yupo tayari kutusogeza mbele zaidi ya hapa.

Ukiondoa mapenzi yake ya Yanga, huku atakuwa neutral. Mpeni nafasi.Tunahitaji vijana walio na damu changa waweze kutusogeza.mambo mengine tutajua baadae kidogo kuwa kwa Nini ameamua kugombea na sera zake hasa ni zipo?!
Au mnesemaje wadau wa michezo?
 
Aandae mafungu kwanza ya wadhamini mapema, fungu la chawa, fungu la kamati ya fitna n.k
 
Ama kweli shule haisaidi kitu basi, unasema jimmy kindoki ni msomi.. Mbona akiongea kwenye media ni kama mtu chemga fulani hivi[emoji848]!??
 
Ndio elimu yetu mkuu huoni Chalamila ana masters. Yale ni mbwembwe tu ila zimo nyingi tu kichwani
 
akipata hiyo nafasi ndo ataacha kumlalamikia karia kuwa unaihujumu yanga au ndo anaenda kusimamia maslahi ya yanga?
 
Football is for fans, Shabiki wa Yanga kindakindaki yuko tayari kuchukua fomu ya kugombea ujumbe pale TFF kesho au kesho kutwa.

Vijana tupeane sapoti, kijanja huyu msomi na mwenye mapenzi ya dhati na mpira, yupo tayari kutusogeza mbele zaidi ya hapa.

Ukiondoa mapenzi yake ya Yanga, huku atakuwa neutral. Mpeni nafasi.Tunahitaji vijana walio na damu changa waweze kutusogeza.mambo mengine tutajua baadae kidogo kuwa kwa Nini ameamua kugombea na sera zake hasa ni zipo?!
Au mnesemaje wadau wa michezo?
TFF wameruhusu na Wehu wagombee?
 
Mtu ambaye anaweza kumuweka mkewe rehani huyo hafai kabisa
 
Back
Top Bottom