Yes he is a King maker. Eti SGR,! Hivi unaweza fanya deal kwenye project ya mkopo?
You are such a big fool. First join the government to know how deals are made. Kuna deals nyingine sisi huziita deals za moto ndo kama SGR
That means you become nothing. Do you know Jimmy ndo alimpoza Odiga japo alishinda kwenye ule uchaguzi wa kwanza na Uhuru?. Na walikubaliana hii term wange muachia Odinga. Uhuru na Odinga walikuwa nyumbani kwa Jimmy katika suluhisho hilo na Jimmy played that role. Uchaguzi ulipo kuwa unakalibia ndo Uhuruto wakaanza kujitenga na Jimmy iliwaendele kutawala. Jimmy his a greatest mafia mob than Uhuruto and they very well know that. Jimmy is like the iron, to change its shape you real need to put it through fire first. Its not yet over until its over. Ogapa mtu mwenye uwezo waku hire wazungu. Ogopa mtu aliye fanya deals zaku supply siraha. The military Jimmy can twist it with a call on his phone.
The only thing he doesnt want is Kenya to go on fire.