Jina Dalali limekaa Kitapeli Tapeli

Jina Dalali limekaa Kitapeli Tapeli

Boss la DP World

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
2,318
Reaction score
8,464
Aisee hili jina limekaa kitapeli tapeli ndiyo maana madalali wengi wamekaa kitapeli tapeli sababu ya nguvu ya jina lao.

Napendekeza waitwe hata Mtu mwema/Watu wema. Hii itasaidia kubadili tabia zao pia Mshana Jr anajua nguvu ya jina.
 
Tabia zao mbovu na kukosekana kwa sheria za kuwadhibiti ndiko kunakopelekea jina la udalali kukosa maana
 
Back
Top Bottom