Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

Duuh! The list is endless. Pole kwa wote mliokwishawahi kutendwa na kuumizwa katika masuala ya mahusiano, but your teaching us a lesson.
 
wewe fidodingo,shenzi wewe,after all that you have done to me ukaona unidhalilishe mbele ya wazazi wangu na ndugu zangu/marafiki......yaani mpaka leo nikiongea nao naona kama wanaona utupu wangu,FUKC YOU again FUKC YOU.......................some people comes in our lives as a lesson,was soo young to be in sexual relationship,na una bahati nimepoa nilikua NITEMBEE/HAVE SEX WITH ALL YOUR FRIENDS NA MAPICHA NIKUTUMIE wewe FISI MAJI WE!
 
[emoji134][emoji134][emoji134]
 
Daaah!!! Pole
 
what about him?

Hata sijui,mara ya mwisho kumuona ni siku tuliyoachana,hata mie nilishangaa kweli yalipotokea,hujamfuata mtu,si kwa simu,sio physically hafu anakuzushia ...I still don't know why and I guess I will never know....moyo wa mtu kichaka,usione huko barabarani watu ukadhania ni watu,wengine mazimwi πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜›
 
hahaha ni kweli, dunia ina mengi hii.
umemsamehe na yy lkn?
 
Wengine hawana majina ya kizungu au kiarabu, ikoje hapo! Kwa mfano Munde, Diyu, Kasana, Shija, Kabula, Mindi, Mulu, Mhoja, Kashindye nk
 
Si wote wanakuwa malaya. Ukishaumizwa na kupata experience ya maumiv kinachofuata ni ww uamue.. uwe mstaarab au uwe kitombi.. kila dem anaye kuja kwako ule na kupita mbali.
Bimafs mm sikugeuka malaya. Nilichagua kutulia na hasira zote nikahamishia kwenye kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…