Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

Anjel tusitaniane, pumbavu mkubwa kisirani weee. Wewe ni mnaa sana. Nini kunifanya bwege, unaenda kumbwato na wengine alafu unanijia usiku eti una hamu. Nakataa nasema naumwa, eti unalia. Halafu nakomaa sikuto*** baada ya miezi miwil una mimba. Hujui aliyekupa. Nenda huko malaya weee. Ndio mana saivi we ni singo maza. Sasa rudisha. (1)simu yangu ya tachi (2) na ile sub woofer.
Nb:Zile chupi baki nazo fala wee
 
Inauma kugawana boom na boyfriend ili alipe ada coz hana mkopo then mnamaliza anapata kazi anakutana na totoz anakuona bibi teh teh teh....kibaya magu anakuja kukukata 15%unasikia uchungu ukizingatia boom umegawana na nguchiro mmoja hivi.....
[emoji115] [emoji115] pole sana mkuu;
 
Neema, that motherfukin bitch, she turn me inside out. All the pain,the war,the hell ,blood i went through for her it was nothing.
That bitch realy alinibadilisha kwakweli, i am something else now
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
wewe fidodingo,shenzi wewe,after all that you have done to me ukaona unidhalilishe mbele ya wazazi wangu na ndugu zangu/marafiki......yaani mpaka leo nikiongea nao naona kama wanaona utupu wangu,FUKC YOU again FUKC YOU.......................some people comes in our lives as a lesson,was soo young to be in sexual relationship,na una bahati nimepoa nilikua NITEMBEE/HAVE SEX WITH ALL YOUR FRIENDS NA MAPICHA NIKUTUMIE wewe FISI MAJI WE!
Oh My God...
 
John..mpenzi wangu wa kwanza huyu nlimpendaga mno..nlitelekeza vitu muhimu kwa ajili yake..nilikua msichana mwema kwake akaja nifanyia ushenzi..na nilimuambia chozi langu haliwezi kukuacha salama..Mungu akakufundisha adabu baada ya mwanamke ulie kua nae kuzaa na mwanaume mwingine..na sasa unaona mapenzi machungu na kila siku waniomba msaamaha kwa ulichonifanyia na unaomba urudi..Go to hell stupid!!
Pole saaana.

Umemsamehe lakini huyo john??? Pls msamehe
 
Anjel tusitaniane, pumbavu mkubwa kisirani weee. Wewe ni mnaa sana. Nini kunifanya bwege, unaenda kumbwato na wengine alafu unanijia usiku eti una hamu. Nakataa nasema naumwa, eti unalia. Halafu nakomaa sikuto*** baada ya miezi miwil una mimba. Hujui aliyekupa. Nenda huko malaya weee. Ndio mana saivi we ni singo maza. Sasa rudisha. (1)simu yangu ya tachi (2) na ile sub woofer.
Nb:Zile chupi baki nazo fala wee
Mkuu samehe....bwana dah
 
wewe fidodingo,shenzi wewe,after all that you have done to me ukaona unidhalilishe mbele ya wazazi wangu na ndugu zangu/marafiki......yaani mpaka leo nikiongea nao naona kama wanaona utupu wangu,FUKC YOU again FUKC YOU.......................some people comes in our lives as a lesson,was soo young to be in sexual relationship,na una bahati nimepoa nilikua NITEMBEE/HAVE SEX WITH ALL YOUR FRIENDS NA MAPICHA NIKUTUMIE wewe FISI MAJI WE!

Fidofido wa humu jamvini?
 
Erick..... Popote ulipo moto ukuwakie..... Sio kwa maumivu Yale uliyonipa mpk nkanywa sumu daaaah...... Popote ulipo nakuchukia
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji119] [emoji119] [emoji119]

Dah...
 
hadi hapa naona kina neema, jack, lucy, mary wako offside lkn yote kwa yote kuna mbuzi zinaitwa stellah acha kabisa '" nilikuwa na mchumba wangu eeee tulipendana kama nyama choma alibahatika kwenda ng'ambo" huu wimbo huwa nikiusikia
 
Kuna mtu anaitwa Marry, wewe ni mpumbav Sana mamake zako, mtu Gan usiejua kupendwa na imagine sijui ulianza lin kunicheat? Nakuombea mabaya mara mia moja, maumivi ulioniachia yakurudie..... Mbwa wewe usie haya
Duh. Noma saana. Umemsamehe lakini?
 
Back
Top Bottom