Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

😀😀😀
Kuna mtu anaitwa Marry, wewe ni mpumbav Sana mamake zako, mtu Gan usiejua kupendwa na imagine sijui ulianza lin kunicheat? Nakuombea mabaya mara mia moja, maumivi ulioniachia yakurudie..... Mbwa wewe usie haya

kha!😀😀😀😀
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka thanaaaaaaa aiseee duh. Hataricious.
Hebu na mie nikampe la kwangu mtu mmoja hivi.
Hawa viumbe wanaoitwa jacky sijui wana laana mamaye, zao. Sijawahi kukutana na Jackline sio malaya tokea mtoto hadi nakua halafu wanakuwaga wanafiki balaa kupaka mafuta kwa mgongo wa chupa! Shenzzzz type zakee J!
 
Maria kenge mkubwa ww ulinifanya nifilisi duka la anko kisa ww!!
ukaenda kuolewa kabisa yaan bora ungechepuka tuu ningevumilia!! ulinifanya kila usiku picha inanijia unavyokazwa na mumeo!!
Mamayo bora hata ulivyoachika ila naona hiyo adhabu haitoshi
Kima mkubwa ww .....kafie mbali.
 
Hawa viumbe wanaoitwa jacky sijui wana laana mamaye zao. Sijawahi kukutana na Jackline sio malaya halafu wanakuwaga wanafiki balaa kupaka mafuta kwa mgongo wa chupa!
Jacline wolper [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatari sana. I remember nilisoma na somebody Jack,ana nyenge mpaka anatiwa na walinzi[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]sitaki kukumbuka
 
Jacline wolper [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatari sana. I remember nilisoma na somebody Jack,ana nyenge mpaka anatiwa na walinzi[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]aitaki kukumbuka
Dah ulijuaje aisee, maana hilo shenzi lilikuwa likinona tu linalowa ***** zake, nikimgusa ndio dah anatafuta mahali pa kufanyiwa kumamaeee zake...Alikuwa na maisha magumu akanifanya nimpende sana na kumsaidia ila lastly aliniletea usanii wa laana siwezi kumsahau kummaa kibuyu!!!
Hilo jina usije kumpa mwanao kamwe...
 
Jina linaanzia na S linaishia na e, huyu amenifanya niwachukulie wanawake kama watu wa kawaida sana kwangu, nawaheshimu tu, lakini inapokuja kujishokesha huwa sinaga hizo makitu kwao, na hata demu akitishia kuniacha huwa sitishiki,hata wife anatambua, na adabu sana coz huwa namwambia, kama wa kwangu ni wangu na kama kuna mtu amemwona anamfaa asepe nae,....huwa ananishngaa, na sio kwamba simpendi ,ila now dayz huWa sipendi kuendekeza kujiafanya mapenzi niue
Salome huyo au sio....!!!
 
Maria kenge mkubwa ww ulinifanya nifilisi duka la anko kisa ww!!
ukaenda kuolewa kabisa yaan bora ungechepuka tuu ningevumilia!! ulinifanya kila usiku picha inanijia unavyokazwa na mumeo!!
Mamayo bora hata ulivyoachika ila naona hiyo adhabu haitoshi
Kima mkubwa ww .....kafie mbali.
Hahahass
 
Back
Top Bottom