Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

Kutokana na utafiti wa TWAWEZA wa thread hii, nimebaini:
1. Majina mengi ni ya kinyamwezi (kizungu)
2. Majina asilimia 99.9 ni ya kikristo.
3. Kuna majina ambayo ni vizuri uyaweke kwenye blacklist ukiwa unatafuta mwenza. E.g. Jackline, Lucy, Mary, etc.
4. Maumivu ya mapenzi hayafutiki, bali yanapungua.
5. Mtu akikuambia amekusamehe baada ya kumsaliti, ni anakudanganya. Usiamini pia eti anakuombea baraka.

Analysis inaendelea. Kutakuwa na hafla ya kukabidhi ripoti ikulu.
 
Mimi binafsi huwa sipendi kusikia jina Lucy. Ooohhh what's the f**ck lucy. Hujawahi kuacha moyo wangu salama baada ya kunisaliti live. Nilijifunza vingi kwako ambavyo mpaka sasa nikikutana na mwanamke anavyo sitakuwa na mahusiano nae.

1. Ni mwongo kiwango cha lami na simu zake zimepandiliana pin kila sehemu.
2. Muda wote anachat whatsapp sms fb... n.k lakini ukiotea simu yake haina sms hata moja. Zinaendaga wapi?

3. Kuna siku alinidanganya kuwa anaenda sehemu sitaki kuitaja humu ila cha ajabu nikamkuta yuko na lijamaa lenye pesa zake. Hakuniona nilipokuja kumuuliza ana tabia ya kujihami kwa kukasirika. Whats the hell is this.

4. Nilikuwa mwaminifu kwa sababu niliona ni mzuri sana kwa sura na wote ni waajiriwa wa serikalini. Sikuona haja ya kuleta magonjwa ndani... Kila niliyemwona sikuona kama anamzidi but one day you gave me STIs na nilipomuuliza whats this f**ck ulinirudishia mpira.

4. Ni miaka miwili tangu tuachane nilimwomba Mungu akanipa "Vmoney". Wallah sijajuta kumpata. Mwanzoni nilidhani wanawake wote wako kama wewe... kumbe kuna watu na viatu. I love V but huwa naomba nisikutane na wewe kwani nikikuona I see all the things in you. Nakuona kwa ndani wengi wasivyokufahamu.

Kama bado hujapata mchumba Lucy badili kwanza tabia... Nahisi mimi sio wa kwanza kunifanyia hivyo. Muda unaenda two years later utakuwa na mwonekano mwingine. Angalia future yako sio sura ya sasa.

Nakuambia utashangaa..... seriously utabiri wangu hujawahi kumwacha mtu salama. Samahani wanajukwaa kwa kuleta agenda yenye ukweli mtupu. Bila hata ya chenga la hata jina la mhusika
duh huyo Lucy wako Yuko sawa na Dadaake Mary ....Mary nenda Mary ....ila utaumuia saaan ucpobadilika
 
Dah ulijuaje aisee, maana hilo shenzi lilikuwa likinona tu linalowa ***** zake, nikimgusa ndio dah anatafuta mahali pa kufanyiwa kumamaeee zake...Alikuwa na maisha magumu akanifanya nimpende sana na kumsaidia ila lastly aliniletea usanii wa laana siwezi kumsahau kummaa kibuyu!!!
Hilo jina usije kumpa mwanao kamwe...
Aqkhuuu. Silitaki[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] linikome,yaani umenifanya nimkumbuke yule dogo mpaka alifumwa maana yeye waalimu wa kiume wakawa wanamgombania(nimesoma girls) walinzi ndio usiseme. Akatimuliwa shule.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatari kweli
 
Irene... Amenipiga chini na mbaya zaidi kaenda kwa msela wangu wa toka utotoni..


Kumuuliza msela anadai "manzi kanikubali mwenyewe chalii" doh

Sikuwahi kuamini ningekuja kuachana nae na sikutaka kupenda tena ila sasa nampenda sana Belinda daaah kweli moyo una kiherehere..


I hope Belinda nitakufa nae.. Maombi yenu wakuu
endelea tuu mkuu Belinda hajatajwa huku
 
Nasubiri kama nitaona wajina amemliz Mtu nicheke kwa herufi kubwa. Mpaka sasa bado naona kina Jackline,irene ndio wanavuma tu humu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kutokana na utafiti wa TWAWEZA wa thread hii, nimebaini:
1. Majina mengi ni ya kinyamwezi (kizungu)
2. Majina asilimia 99.9 ni ya kikristo.
3. Kuna majina ambayo ni vizuri uyaweke kwenye blacklist ukiwa unatafuta mwenza. E.g. Jackline, Lucy, Mary, etc.
4. Maumivu ya mapenzi hayafutiki, bali yanapungua.
5. Mtu akikuambia amekusamehe baada ya kumsaliti, ni anakudanganya. Usiamini pia eti anakuombea baraka.

Analysis inaendelea. Kutakuwa na hafla ya kukabidhi ripoti ikulu.
namba moja weka Maria/Marry kenge hawa
 
Back
Top Bottom