hhahahh, AndrewDuh kuna mtu kataja jina langu kamoyo kamefanya paaaa. ..embu usicheke kingereza malizia Ako ka story Basi
hhahahh, AndrewDuh kuna mtu kataja jina langu kamoyo kamefanya paaaa. ..embu usicheke kingereza malizia Ako ka story Basi
Lucy kiboko hujui tu wewe. Hajawahi kuonesha kuwa serious na mapenziduh huyo Lucy wako Yuko sawa na Dadaake Mary ....Mary nenda Mary ....ila utaumuia saaan ucpobadilika
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamani nimechekaMaria kenge mkubwa ww ulinifanya nifilisi duka la anko kisa ww!!
ukaenda kuolewa kabisa yaan bora ungechepuka tuu ningevumilia!! ulinifanya kila usiku picha inanijia unavyokazwa na mumeo!!
Mamayo bora hata ulivyoachika ila naona hiyo adhabu haitoshi
Kima mkubwa ww .....kafie mbali.
DuhRose..wewe ni mshe.nz sana.
DahCheating Genius Irene mama nimekusamehe lakini sitokusahau.
Kafie mbele
Dah pole ...erick atakua anatapatapa kwa sasa ..hadi ulikunyww sumu.?Erick..... Popote ulipo moto ukuwakie..... Sio kwa maumivu Yale uliyonipa mpk nkanywa sumu daaaah...... Popote ulipo nakuchukia
TiSS wa ukweli hawezi tumia title yake kumtishia mtu kisa mapenzi...huyo bwege tuAnna ulijifanya kunisaliti zaidi ya Yuda eti unaolewa na TISS Jambazi mkubwa chakubanga Ulaaniwe wewe na kizazi chako Jina lako nimeliandika mabibo hostel Ulinifanya niishi Kama Kiboko nakula mlo mmoja ili nikufirahishe ila mshenzi ulichonifanyia hadi shetani akinionea huruma nasikia umeolewa mbezi jogoo na shayo TISS alienitishia kuni kill nitakuletea chu**p**i yako
Dah pole brotherAnna wewe ni zaidi ya Yuda aiskarioti karma is be(itch)
Brother pole sana ..Jina lako kinyamaa kulitamka Manina zako we demu usidhani kuwa nimesahau usenge wako ulionifanyia ungreatful whore
Nina picha zako za uchi siku moja utaziona kwa Shigongo
Faq u popote ulipo
Brother unaona aise wanaume ndo wengiHivi na wanaume kumbe tunaumizwa na mapenzi... Nlijua wanawake tu!!!
tehe tehe teheBasi hata miye naogopa kutaja jina tuuu uko wao wooote watajua ni Mimi. Maana jina lake ni kisiwa kimoja huko uarabuni.
Mkuu now na Mimi niko kwenye system nawatafuta Sana ipo siku ila Anna time will tell AnnaTiSS wa ukweli hawezi tumia title yake kumtishia mtu kisa mapenzi...huyo bwege tu
tehe tehe tehe hii thread inanivunja mbavu zanguKutokana na utafiti wa TWAWEZA wa thread hii, nimebaini:
1. Majina mengi ni ya kinyamwezi (kizungu)
2. Majina asilimia 99.9 ni ya kikristo.
3. Kuna majina ambayo ni vizuri uyaweke kwenye blacklist ukiwa unatafuta mwenza. E.g. Jackline, Lucy, Mary, etc.
4. Maumivu ya mapenzi hayafutiki, bali yanapungua.
5. Mtu akikuambia amekusamehe baada ya kumsaliti, ni anakudanganya. Usiamini pia eti anakuombea baraka.
Analysis inaendelea. Kutakuwa na hafla ya kukabidhi ripoti ikulu.