Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

Kuna mtu anaitwa Marry, wewe ni mpumbav Sana mamake zako, mtu Gan usiejua kupendwa na imagine sijui ulianza lin kunicheat? Nakuombea mabaya mara mia moja, maumivi ulioniachia yakurudie..... Mbwa wewe usie haya
Take it easy brother, pole
 
Lucy kiboko hujui tu wewe. Hajawahi kuonesha kuwa serious na mapenzi
Mkuu ungemjua Dada yake Mary,, duuhh mpaka sasa alinisababisha Depression, nikitoka kazn, namkuta anaangalia movie, halafu cm iko bize, utafkiri yeye ni customer care,,, yaaaan,,, mkuu acha kabisa hiyo mambo,, ......niksema yaaan naaamanisha yaaaan

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
Arafa nguruepori Mkubwa wewe wiki ya pili hii unanisaliti tu, nikikupigia Simu yako kuanzia saa mbili usiku hupokei mpaka kuanzia saa nne usiku...soon nkipata kalikizo toka huku kambi nakuja kukutegua kiuno na huyo bwege wako, yaani viuno vyote vile unamkatikia Bodaboda fala Mkubwa wewe
 
Maria kenge mkubwa ww ulinifanya nifilisi duka la anko kisa ww!!
ukaenda kuolewa kabisa yaan bora ungechepuka tuu ningevumilia!! ulinifanya kila usiku picha inanijia unavyokazwa na mumeo!!
Mamayo bora hata ulivyoachika ila naona hiyo adhabu haitoshi
Kima mkubwa ww .....kafie mbali.
What goes around comes around brother pole ...karma is working for her
 
Daaah..huyu HABIBA MUHAMMED KHAMIS shenzi sana uyu demu nilikuwa kama chizi..kulia kama mtoto..maradhi yote yangu ..masomo hayapandi ..nakuota kla siku ..mungu ni samehe ila mpaka kwenye ibada nakufikiria...heee hadi kwenye paper form 4 ya English na math onyo nikija kuzipata hela za maana wajichore kwa wino kijan kwamba wame umia ..manina
 
Kutokana na utafiti wa TWAWEZA wa thread hii, nimebaini:
1. Majina mengi ni ya kinyamwezi (kizungu)
2. Majina asilimia 99.9 ni ya kikristo.
3. Kuna majina ambayo ni vizuri uyaweke kwenye blacklist ukiwa unatafuta mwenza. E.g. Jackline, Lucy, Mary, etc.
4. Maumivu ya mapenzi hayafutiki, bali yanapungua.
5. Mtu akikuambia amekusamehe baada ya kumsaliti, ni anakudanganya. Usiamini pia eti anakuombea baraka.

Analysis inaendelea. Kutakuwa na hafla ya kukabidhi ripoti ikulu.
[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom