Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ukikumbuka tu ushe.nzi aliokifanyia automatically tusi linakuja
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wajina wangu naona anashindana na jackie.
 
Agnes uliondoka wakati bado nilikuwa nakuhitaji, hukutaka kusikia la swala wala mnadi swala kwa kigezo kwamba uvumilivu umekushinda, kama ulikuwa ukitaka ndoa, ungengoja wakati na sio kuniacha bila sababu za msingi, nimekusamehe lakini sitakusahau na kheri nakuombea huko ulipo dah!
 
Back
Top Bottom