Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

Mimi binafsi huwa sipendi kusikia jina Lucy. Ooohhh what's the f**ck lucy. Hujawahi kuacha moyo wangu salama baada ya kunisaliti live. Nilijifunza vingi kwako ambavyo mpaka sasa nikikutana na mwanamke anavyo sitakuwa na mahusiano nae.

1. Ni mwongo kiwango cha lami na simu zake zimepandiliana pin kila sehemu.
2. Muda wote anachat whatsapp sms fb... n.k lakini ukiotea simu yake haina sms hata moja. Zinaendaga wapi?

3. Kuna siku alinidanganya kuwa anaenda sehemu sitaki kuitaja humu ila cha ajabu nikamkuta yuko na lijamaa lenye pesa zake. Hakuniona nilipokuja kumuuliza ana tabia ya kujihami kwa kukasirika. Whats the hell is this.

4. Nilikuwa mwaminifu kwa sababu niliona ni mzuri sana kwa sura na wote ni waajiriwa wa serikalini. Sikuona haja ya kuleta magonjwa ndani... Kila niliyemwona sikuona kama anamzidi but one day you gave me STIs na nilipomuuliza whats this f**ck ulinirudishia mpira.

4. Ni miaka miwili tangu tuachane nilimwomba Mungu akanipa "Vmoney". Wallah sijajuta kumpata. Mwanzoni nilidhani wanawake wote wako kama wewe... kumbe kuna watu na viatu. I love V but huwa naomba nisikutane na wewe kwani nikikuona I see all the things in you. Nakuona kwa ndani wengi wasivyokufahamu.

Kama bado hujapata mchumba Lucy badili kwanza tabia... Nahisi mimi sio wa kwanza kunifanyia hivyo. Muda unaenda two years later utakuwa na mwonekano mwingine. Angalia future yako sio sura ya sasa.

Nakuambia utashangaa..... seriously utabiri wangu hujawahi kumwacha mtu salama. Samahani wanajukwaa kwa kuleta agenda yenye ukweli mtupu. Bila hata ya chenga la hata jina la mhusika
Mary Mary Mary jamani Mary .....nilijaribu nikasukumiziwa .....duhhhhh mpaka Leo unanjia ndotoni ....nasikia bado hujaolewa daaaaah hii mbegu sio ....Mungu akupe wepes uliamkua kutoa mimba ya mtoto wa mkuu wa wilaya daaaa jiangalie saaana ....cna neno tena mmmmmhhh baaaaasi ...
 
Arafa nguruepori Mkubwa wewe wiki ya pili hii unanisaliti tu, nikikupigia Simu yako kuanzia saa mbili usiku hupokei mpaka kuanzia saa nne usiku...soon nkipata kalikizo toka huku kambi nakuja kukutegua kiuno na huyo bwege wako, yaani viuno vyote vile unamkatikia Bodaboda fala Mkubwa wewe
Hahahaha....jamani jamani mbavu zangu
 
Nishapoa mwaya
0b2f5b2882336609c1a2a0329234d2b1.jpg
 
Back
Top Bottom