Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

Jina linaanzia na S linaishia na e, huyu amenifanya niwachukulie wanawake kama watu wa kawaida sana kwangu, nawaheshimu tu, lakini inapokuja kujishokesha huwa sinaga hizo makitu kwao, na hata demu akitishia kuniacha huwa sitishiki,hata wife anatambua, na adabu sana coz huwa namwambia, kama wa kwangu ni wangu na kama kuna mtu amemwona anamfaa asepe nae,....huwa ananishngaa, na sio kwamba simpendi ,ila now dayz huWa sipendi kuendekeza kujiafanya mapenzi niue
Aisee sometimes huwa nachukuaga maamuzi kama yako mkuu "let it go"

Najua wanafikir wewe ni mpumbavu,mjinga lakini unajilinda wewe na moyo wako na uhuru wako

Sikiliza wimbo wa SAM SMITH-TOO GOOD AT GOOBYES utanielewa mkuu.
 
Jackline, this bitch was a horror story

Lydia, Mshe**i sana, sitamsahau kabisa

Janet....go to hell mother fanta

Nancie..go to hell..mseng.e sana

Rose..wewe ni mshe.nz sana.

Teopisto a.k.a tonny malipo ni hapahapa duniani hanith kiuno mkubwa we

Zuhura,Anna,Hilda,Felister,Marry mkafie mbele

Nancy mother f€ cker

Jackline wewe mtoto wa kimbulu maninaa zako!! F*ck you Jackline!!

Ulikua mwongo hata shetani akukutii, malaya fisadi kiwembe.. Mamayo zako kafie mbele!!!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka thanaaaaaaa aiseee duh. Hataricious.
Hebu na mie nikampe la kwangu mtu mmoja hivi.
 
mbona hilo Jina wanajulikana kwa upole??
Dah!sio kwa stahili hii inaonekana walioumizwa kwenye mahusiano ni wengi kuliko kawaida,how emotions are these comments?Na wengi maumivu nikama hayasahauliki.Anyway kama Mungu anasamehe nasisi tusamehe pia tuachilie mioyo yetu isiendelee kuwabeba ili tuwe salama,kibinadam sometimes ni ngumu lakin kwa neema ya Mungu inawezekana.
 
Jina linaanzia na S linaishia na e, huyu amenifanya niwachukulie wanawake kama watu wa kawaida sana kwangu, nawaheshimu tu, lakini inapokuja kujishokesha huwa sinaga hizo makitu kwao, na hata demu akitishia kuniacha huwa sitishiki,hata wife anatambua, na adabu sana coz huwa namwambia, kama wa kwangu ni wangu na kama kuna mtu amemwona anamfaa asepe nae,....huwa ananishngaa, na sio kwamba simpendi ,ila now dayz huWa sipendi kuendekeza kujiafanya mapenzi niue
yanini kujiita Sofia?
 
Back
Top Bottom