Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

Duuh akina jackline wametisha sana,

Ila Neema! neema! neema! wewe ni kiumbe wa ajabu sana, ulinionesha mapenzi hata shetan aliyaogopa, but haurudhiki neema unachit lkn unajitia mtakatifu sana na kila wakati unalia machozi kana kwamba wewe ndie unaonewa. sintosahau siku ile nimebahatisha password ya simu yako. Natamani hata nisingeifungua simu yako siku ile maana kwa jinsi nilivyokuamini na kutamba mtaani duh! aisee Neema wewe sintokusahau ninaamini uliniroga si bure, maana hata nilipokufumania ulikataa katu katu na kujifanya umezirai kumbe naibiwa mie. Ila sawa mungu ndo muweza wa yote na ada niliyokulipia cerificate na diploma pale UCC nilishasamehe. ILA SINTOKUSAHAU!
kudadeki Neema pokea
 
Heheheee

Kuna watu wakiona tu jina la Nyani Ngabu siku yao inaharibika.

I savor my ability to aggravate pea-size brained haters.

Hi haters....do you see me?

This is for y'all....teh tehteh



I'm so happy imma hit y'all with the remix too. Love my haters so much😀

Happy Friday haters....😀😀
 
Anaitwa stelah matutu nlikutana nae wakati nipo musoma kikazi nilikuwa Pahala nakula nikamuona akimusimulia story yake muhudumu nilimuonea huruma nikamnunilia plate akatuliza njaa
Stelah wangu ni m'bena was njombe lkn yuko mbeya kikaz kwa xx...mungu amjalie maisha marefu ya ndoa Siku akiolewa
 
Arafa nguruepori Mkubwa wewe wiki ya pili hii unanisaliti tu, nikikupigia Simu yako kuanzia saa mbili usiku hupokei mpaka kuanzia saa nne usiku...soon nkipata kalikizo toka huku kambi nakuja kukutegua kiuno na huyo bwege wako, yaani viuno vyote vile unamkatikia Bodaboda fala Mkubwa wewe
Huyo boda boda ndio Mimi nini ?. Nalijua hilo jina
 
Arafa nguruepori Mkubwa wewe wiki ya pili hii unanisaliti tu, nikikupigia Simu yako kuanzia saa mbili usiku hupokei mpaka kuanzia saa nne usiku...soon nkipata kalikizo toka huku kambi nakuja kukutegua kiuno na huyo bwege wako, yaani viuno vyote vile unamkatikia Bodaboda fala Mkubwa wewe
hahahaaaa mkuu huyo Arafa ni wa wapi.......mbona kama namjua
 
Back
Top Bottom